Kaka mwana Chelsea mwenzangu, hivi tatizo unaliona wapi, mimi binafsi naona hatuna Kocha kabisa, mechi zote tumekuwa watu wa kutoka nyuma kuja kusawazisha
Kocha mpaka leo hana kikosi cha kwanza, timu haina mfumo unaoeleweka, kila mchezaji anacheza kwa nguvu zake na uwezo wake, hakuna kabisa plan za kufunga zaidi ya kubahatisha tu
Kama tulimkosa Pep , kocha sahihi kwa Chelsea alikuwa Frank Rijkaard, huyu angetengeneza timu yenye mfumo ambao taita wetu anautaka
Kwa mfumo na uchezaji huu hata aeuropa League hatuendi