Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,205
Nina wasiwasi conte hatuli nae Xmass
Sasa ni nani? Mfuga kuku?Konte sio kocha toka alipokuja
Kwahiyo hii msg umeiandikia usingizini?NIPENI MATOKEO HAPO DARAJANI MAANA NIKO NYUMBANI NIMELALA BAADA YA TIMU YANGU KUMDUNGA MTU 4 KWA 1
Ntunzu na ENZO wapo taaabani angalau watoke Draw, ENZO yupo taaaban bora tizama game za zamani tu jifutahishe kama ulivyoweka result zako hapo na Arsenal.
Ndio....maana...ukajipa....hiyo...ID.Kocha hapa kanishinda ujinga.
Matic angetoka aingie Batshuayi.
Badala ya Pedro heri V. Moses.
Kama hujui kiingereza sasa uje ufundishwe na wewe utaaibika!!!Ndio....maana...ukajipa....hiyo...ID.