Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwenyewe nnekuja nwashabikie mnaniangusha hivi,basi buana ngoja nirudi zangu O.T
 
Timu imecheza hovyooo,sijui mfumo,beki hakuna, tuone game ijayo.
 
Oscar kichwa kikubwa saivi!!!!

Kaka mwana Chelsea mwenzangu, hivi tatizo unaliona wapi, mimi binafsi naona hatuna Kocha kabisa, mechi zote tumekuwa watu wa kutoka nyuma kuja kusawazisha

Kocha mpaka leo hana kikosi cha kwanza, timu haina mfumo unaoeleweka, kila mchezaji anacheza kwa nguvu zake na uwezo wake, hakuna kabisa plan za kufunga zaidi ya kubahatisha tu

Kama tulimkosa Pep , kocha sahihi kwa Chelsea alikuwa Frank Rijkaard, huyu angetengeneza timu yenye mfumo ambao taita wetu anautaka

Kwa mfumo na uchezaji huu hata aeuropa League hatuendi
 
Kufungwa sio mwisho wa dunia na tatizo la chelsea ni kukosa kiongozi kwenye back line, maana beki imekuwa urojo kama ya under 20 daaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom