Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usijali kiongozi arsenal Kwetu ni mchumba na akitufunga basi nitajua hatuchukui ubingwa
Kiukweli sijawahi kuidiss chelsea naweza paita nyumba yangu ya kupanga au nyumba ndogo lakini hakuna ukweli kwamba mtashinda hii game wenger fala ila mjanja sana yule mzee na anapenda sana game kama hizi kuikosoa dunia
 
1474714580202.jpg
wapi hiyo nyoka MI nataka kukoa kichwa
 
Proposed team:

Courtouis; Azpilicueta, Cahill, D. Luiz, Alonso; Ngolo Kante; Hazard, Oscar, Fabregas, Willian; Costa. Yaani 4-1-4-1.
 
Tukifunga first half..basi second half aingie Matic kuleta balance.
 
Kiukweli sijawahi kuidiss chelsea naweza paita nyumba yangu ya kupanga au nyumba ndogo lakini hakuna ukweli kwamba mtashinda hii game wenger fala ila mjanja sana yule mzee na anapenda sana game kama hizi kuikosoa dunia

*Chelsea's last 10 results against Arsenal in the PL are as follows:*

Arsenal 0 – 1 Chelsea

Chelsea 2 – 0 Arsenal

Arsenal 0 – 0 Chelsea

Chelsea 2 – 0 Arsenal

Chelsea 6 – 0 Arsenal

Arsenal 0 – 0 Chelsea

Arsenal 0 – 2 Chelsea

Chelsea 2 – 1 Arsenal

Arsenal 1 – 2 Chelsea

Arsenal 0 – 0 Chelsea

Game 10 Clean Sheets 8.
Kweli mtalaka hatongozwi.
 
Ila sijui ni kwa nini conte anamkumbatia ivanovic
Huyu macos alonso yupo poa sana
 
Inabidi fabrigas amuonyeshe kitu conte leo asimwangushe maana hii ni fidelity kubwa amemwonyesha leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom