BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Ni makosa makubwa ku-under-rate "The Hammers" hata kama msimu huu ni kama mwaka wa shetani kwao! Ninaheshimu London derbies!Westham lazima akae.
Ni makosa makubwa ku-under-rate "The Hammers" hata kama msimu huu ni kama mwaka wa shetani kwao! Ninaheshimu London derbies!Westham lazima akae.
Anamwekaje nje fabhaahaa kocha tena anazingua?
ili mwingine acheze.Anamwekaje nje fab
Basi sawa, ila faida ya fab imeonekanaili mwingine acheze.
Chelsea huwa haishindi kirahisi inapocheza na wenzao wa jiji la London: Arsenal, Spurs, Westham, Fulham, QPR, Crystal palace, etc.!Ni makosa makubwa ku-under-rate "The Hammers" hata kama msimu huu ni kama mwaka wa shetani kwao! Ninaheshimu London derbies!
Ila anashinda this time...all London derbies this season.Chelsea huwa haishindi kirahisi inapocheza na wenzao wa jiji la London: Arsenal, Spurs, Westham, Fulham, QPR, Crystal palace, etc.!
ili mwingine acheze.
Chelsea ipi hiyo anashinda this time all London derbies?Ila anashinda this time...all London derbies this season.
Assaramu areku, Bwana asifiweLeague Cup draw .........
Westham vs Chelsea
tutapiga Westham tuue ..........
Ni makosa makubwa ku-under-rate "The Hammers" hata kama msimu huu ni kama mwaka wa shetani kwao! Ninaheshimu London derbies!
Ondoa arsenal Chelsea anashinda kirahisi kwa arsenal Hata Wenger anajuaChelsea huwa haishindi kirahisi inapocheza na wenzao wa jiji la London: Arsenal, Spurs, Westham, Fulham, QPR, Crystal palace, etc.!
Japokuwa mimi pia ni shabiki wa Chelsea, mpaka nione kwa macho!Ila anashinda this time...all London derbies this season.
Mimi ama kocha wenu ndiyo aache mzaha.acha mzaha..hakuna better than Fab on assists!
Kwa jinsi navyoichukia arsenal.....muwafunge tu tena goli za kutosha.Ondoa arsenal Chelsea anashinda kirahisi kwa arsenal Hata Wenger anajua
aisee!!Kwa jinsi navyoichukia arsenal.....muwafunge tu tena gaol za kutosha.
Hahaaaa......loh ....nimeona mkuuaisee!!
Watakaza kisha wataachia tu, kitu Shaaaa!Leo chelsea wanacho kibarua... hii game gunners watakaza sanaa
Sure 100 percent trueArsenal hawana uongozi, ni wafanya biashara na wachumi. Na wenger ndio uongozi.Na hakuna siku mashabiki watagoma kuingia uwanjani Arsenal wanapocheza kama ambavyo haikutokea wakati Mou alipokuwa anataka kuishusha daraja Chelsea, mashabiki wa Chelsea walikuwa wanamiminika kwa wingi, kila siku wakiwa na matumaini ya turn around, na kila mechi ilipomaliza waliondoka na majonzi.
Ni mashabiki wazembe tu huku Afrika, siku timu anayoishabikia ya ulaya ikifungwa anajinyonga, kule timu lao likifungwa hasira na majonzi yanamalizikia baa, wanakunywa beer, kulaani na kuimba tu siku imepita.
Zambi kuchukia arsenal ichukie watfordKwa jinsi navyoichukia arsenal.....muwafunge tu tena goli za kutosha.