Chalobah kakuta game imeshakuwa nyepesi...kwa leo siwezi mpa sifa yoyote!
Halafu back passes nyingi mno!!!
Arsenal hawana uongozi, ni wafanya biashara na wachumi. Na wenger ndio uongozi.Na hakuna siku mashabiki watagoma kuingia uwanjani Arsenal wanapocheza kama ambavyo haikutokea wakati Mou alipokuwa anataka kuishusha daraja Chelsea, mashabiki wa Chelsea walikuwa wanamiminika kwa wingi, kila siku wakiwa na matumaini ya turn around, na kila mechi ilipomaliza waliondoka na majonzi.Ngoja nikuulize swali, itakuwaje siku mashabiki wakigoma kuingia uwanjani Arsenal wanapocheza? Uongozi haitawasumbua?
Westham lazima akae.League Cup draw .........
Westham vs Chelsea
tutapiga Westham tuue ..........
haahaa kocha tena anazingua?Japo tumeshinda ila kocha anazingua