Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

2 more goals conceded, Kocha asipolitatua hili maisha yake darajani yatakuwa mafupi sana
 
What a goalllllll....

Hazard...Costa..Hazard...Fabregas.

Wamebaki wameduwaa aisee
 
Leicester 2 - 3 Chelsea.

Kiukweli nmba anayocheza Oscar ni nafasi wazi ya Fabregas.

Fab Hazard Willian ni bora kuliko oScar kwakweli
 
Haya sasa tuombe dua...bado madakika mengi na Vardy anacheza kwa mihasira..
 
Hahahahahahahah goooooaaaaaaaaalllllll


Fabregas again....ahahahahahahaha what a goal.
 
Leicester 2 - 4 Chelsea

Dakika ya 7 kati ya 30 za nyongeza.
 
Yani ukimwangalia Fabregas unajua kabisa huyu alishawahi kuwa Captain. Anaweza kudictate mpira uendeje....
 
Na mpira umekwishaaaaaa.....

Leicester 2 - 4 Chelsea.

On to the next stage.
 
Nimeamini conte ni makota kweli" eti anashangilia magoli ya Fab!!" .............

On my view Chalobah ni mzuri sanaaaa"
 
Yaani siku hiz ushindi mpaka tusubiri usiku wa manane!!!!Bado kuna tatzo ktk beki,Conte kama gemu zijazo atamweka fab bench basi acheze yeye maana anatuchosha na ujinga wake wa kusubiri alfajiri ndio ashtuke,mechi zote fab anatakiwa aanze na mmoja wapo kati ya Matic au Kante kama wote wataanza basi Oscar akae benchi. Tofauti na hapo ni afadhali ya mwaka jana.
 
Nimeamini conte ni makota kweli" eti anashangilia magoli ya Fab!!" .............

On my view Chalobah ni mzuri sanaaaa"

Chalobah kakuta game imeshakuwa nyepesi...kwa leo siwezi mpa sifa yoyote!

Halafu back passes nyingi mno!!!
 
2678.jpg

Chelsea’s Cesc Fabregas celebrates scoring their fourth goal with Gary Cahill
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom