ukiwa na james kwenye timu kama chelsea ambayo wafungaji ni wababaishaji ni sawa na kuwa na kombe sebuleniKumuacha Fab litakuwa kosa kubwa mno
Ipo siku twajuta ati
James hatatusaidia lolote lile
Ngoja tukae pembeni maana Conte na Mo hawana tofauti
Fab angekwepo kwa mechi ya westham kungekua na magoli mengi sana ............. waache wamnunue huyo James watajuta manina.Kumuacha Fab litakuwa kosa kubwa mno
Ipo siku twajuta ati
James hatatusaidia lolote lile
Ngoja tukae pembeni maana Conte na Mo hawana tofauti
Umeshasahau Costa ni pancha yule .. Akiumia Costa nani atamreplace ? James ataongeza option kule mbeleKumuacha Fab litakuwa kosa kubwa mno
Ipo siku twajuta ati
James hatatusaidia lolote lile
Ngoja tukae pembeni maana Conte na Mo hawana tofauti
Kitengo cha usajili cha chelsea naona ni jipu mi sina imani nachoMaana nasikia kolibaly amesusia mazoezi napoli kwa ajili ya chelsea tu
Hilo ni kweli usajiri wetu unasuasua sanaKitengo cha usajili cha chelsea naona ni jipu mi sina imani nacho
Kipindi kile J.stones mpaka alituma request ya kuuzwa everton na bado tukamkosa
Timu ya ushindi ni ile ambayo ilicheza kipindi cha pili, baada ya kumalizika subs zote, pale kasi iliongezeka na ufundi pia nadhani uliona hata costa alibadilika na ndipo ilipelekea kufunga goli na pili. Kama conte atakua amelinotice hilo atakomaa na kikosi hicho.Hongereni wana Chelsea wenzangu,
mechi haikuwa mbaya sana, ila kwa kweli tuna tatizo la strikers ambalo linaweza kurekebishika kirahisi bila kusajili wachezaji wapya ni kubadirisha mfumo tu
Tatizo la pili liko nyuma, hili ni serious kwa sababu linahitaji wachezaji wapya, Ivanovic umri umeshasogea na namba anayocheza inahitaji uwe fit kwani unakuwa ni mtu wa kupanga mashambulizi na pia kuja kukaba na speed hiyo sidhani kama anayo tena, bora kama angekuwa anacheza kati,
Terry na Cahil hawajawahi kuwa parters wazuri, kilichokuwa kinawasaidia ni ufitness wao, lakini sasa Terry keshachoka na kwa kweli kunahitajika mtu pale kati
Otherwise timu sio mbaya
Chelsea team v Watford: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta; Kante; Pedro, Oscar, Matic, Hazard; Diego Costa. #CFC
Sent from my MediaPad 7 Youth 2 using JamiiForums mobile app
What do you mean?uwepo wa pedro ni advantage kwa costa
WILLIAN ni injury ama??uwepo wa pedro ni advantage kwa costa