Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Obi Mikel, " Hiddink has given us the freedom to play, which was what we needed."
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu ndani bhana, yaani utadhani ndio mmeshinda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sijui Hazard ana shida gani?! makali yote kwishinei .............. yaani bora Pedro anajitahid sanaaaa. Jana kapiga kazi ya hatariii..
Hazard anajiona SuperStar kwwnye timu wakati kufunga hafungi..... Real au PSG hawatamchukua sababu sio mfungaji na zile chenga zake zimekwisha siku hizi, he is useless
 


Nakubaliana na wewe kua Chelsea lazima itabadilika ata PSG lazima waanze na Cavani.

Hiddink lazima awaanzishe Obi na Matic km anataka timu iwe imara.

Oscar ataanzia benchi Hazard na Pedro ndio watakao pokezana.

Najua game itakua ngumu lkn naipa nafasi timu yangu kusonga mbele
 
Hazard anajiona SuperStar kwwnye timu wakati kufunga hafungi..... Real au PSG hawatamchukua sababu sio mfungaji na zile chenga zake zimekwisha siku hizi, he is useless
Auzwe tu mana haonyeshi hata jitihada, inaniuma sana yaani mana ndio alikua my favourite player.

Hazard auzwe tu, na hiyo deal kwa PSG imuhusishe kati ya moura au de maria
 
Leo tunaenda kuuwa nyani hatuta mtazama machoni chelsea piga hao man city tatu bila
 
Ngoja nitangulize pole kwako mkuu maana baada ya saa mbili na nusu usiku utakuwa unalia.. Za masiku mengi mkuu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…