Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hauna team ya kumfunga Arsenal hata mchezee uwanja wa Tandika MabatiniHatuhitaji dua zako
Hauna team ya kumfunga Arsenal hata mchezee uwanja wa Tandika MabatiniHatuhitaji dua zako
Chelsea ipi ya kumfunga Arsenal yenye Sanchez na Ozil ndani?
BwahahahahaaaaThe Blauz kazeni vijana Heshima irudi kitaa hapo kwa week tu
Za masiku kalouChelsea got 99 problems but defeating arsenal aint one...
Kaka wapigeni mara nyingi kadri muwezavyo maana hakuna namna ni wagonjwa wenu cku zoteBwahahahahaaaa
Vipi ameshalichomaaa?Madee wa tip top connection amesema atachoma gari yake leo kama arsenal watafungwa na Chelsea Leo huyu ni fans wa arsenal