Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Naona wenyewe wameamua kuikimbia thread yao,wameamua kujiita wageni ndani ya nyumba yaoHawa jamaa niliwaambia mimi kwamba wamebakiwa na mechi ngumu sana wakawa wanabisha,naona taratibu wataanza kuamini maneno tuliyowaambia...Poleni sana majirani
Naona wenyewe wameamua kuikimbia thread yao,wameamua kujiita wageni ndani ya nyumba yao
Hao wawili ulo wasahau ni Manda na DE NOVOCurrently Active Users Viewing This Thread: 18 (9 members and 9 guests)
Balantanda, Arsene Wenger, Belo, Eqlypz, mmbebabox, Ng'wanza Madaso, Roya Roy
Katika hawa guests tisa lazima kuna Masanilo,Mvina,Peasant,Invisible,Ab-Tichaz,ELNINO,Sanda Matuta na wengine wawili nimewasahau...Dah,yaani watu wanakuwa wakimbizi ndabi ya nchi yao,noma kweli.
Bora hata sisi Arsenal hata tukifungwa huwa twaendelea kuvinjari tu jamvini
Leo ilikuwa ni kilio Darajani. Duh kippigo kinauma mno tena nyumbani. Lakini hakuna cha kutafuta visingizio, tumezidiwa na tujigange kwa mechi zinazokuja.
Kina Abitaz, Masa na Wana Chelsea wengine, tusife moyo!
Hao wawili ulo wasahau ni Manda na DE NOVO
Manda ni Manure na De Novo ni Liverpool...Nawazungumzia mashabiki wa Chelsiki...Nawapongeza sana Pape na Invisible kwa angalau kuonesha ujasiri na kuchangia hapa wakati game ikiendelea
pole sana REV. nashukuru umejitokeza kutoa mawazo yako na kupokea pole.Leo ilikuwa ni kilio Darajani. Duh kippigo kinauma mno tena nyumbani. Lakini hakuna cha kutafuta visingizio, tumezidiwa na tujigange kwa mechi zinazokuja.
Kina Abitaz, Masa na Wana Chelsea wengine, tusife moyo!
Masanilo leo katulia, anaugulia kichapo!Mkuu leo wamewezwa tunashukuru kwa mapichaaz,ubingwa bado uko wazi hakuna ayetabiliwa mpaka sasa.Masanilo kajificha haonekani hata pale kwa guests.
Mhh kumbuka hivi karibuni Trafford ya zamani mnakutana na wababe wenu Fulhan na Bobby Zamora atakuwa anawangojea kwa hamu sanaKama kawa Ubingwa Unabakia pale Trafford ya Zamani
Habari zilizotufikia hapa studio ni kwamba Masanilo aka kikojozi na invisible peasant wanasubiri mechi ya Arsenal wanafanya matambiko hivi sasa. Wamejikusanya kwa shekhe yahaya baada ya kupewa mawaidha kutoka Magogoni. Taleban supporter bado anashikiliwa na mungiki brothers.
huyu jamaa leo alikuwa mwiba kwa CHL, yaani akishika ngoma tu anageuka kati huyoooo beki wanakimbiza kwa nyuma, yaaaw!
I didn't see that, what was dat?
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Pls Masanilo usijiOmondi.Toa comment tuone mapigo yako ya moyo.Masanilo leo katulia, anaugulia kichapo!