Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
duuuh hii mara kwanza naona john terry anaomba maji kati kati ya game.
Chelsea kweli sijui nini kimewapata,Ballack nje,ama kweli hakuna mume wa waume.
Kutokuwepo kwa kipa wetu kumetugharimu SANA...
Kilio cha mtu mzima ndio leo!
Am speechless π
kumbe mpaka nyie wakubwa mnaliaga na majeruhi? nilijua sisi tu ambao tunaambiwa kisingizio chetu kila siku majeruhi.Kutokuwepo kwa kipa wetu kumetugharimu SANA...
π
Mkuuu ebu lete picha ya bendera ya man city tupandeshe humu manake wameteka stamford bridge .Bellamy 4 Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuuu ebu lete picha ya bendera ya man city tupandeshe humu manake wameteka stamford bridge .
Haka kachanga ka Tevez kalikozaliwa premature kule Argentina kamekuja na bahati yake kwa Baba yake.