Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,747
- 12,462
Mimi nashangalia..naona ata pedro yuko kwenye ubora wake..
mou atarudi tena 2020
Kwani alokwambia wachezaji ni wabovu nani, issue kuna wachezaji wanajiona miungu watu
Mimi nashangalia..naona ata pedro yuko kwenye ubora wake..
mou atarudi tena 2020
[h=3]GOAL - Chelsea 3-0 Sunderland[/h]Oscar penaltyAsante sn Nonda kwa updates.......
[h=3]GOAL - Chelsea 3-1 Sunderland[/h]Fabio Borini dakika 53Mimi ata mpira wenyewe sitaki kuangalia......
Nafasi ya 15 bado inawahusu khe khe he he khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mimi ata mpira wenyewe sitaki kuangalia......
Wewe ni mpenzi wa timu au kocha?Tuko wengi Mkuu,hata mimi wala sina habari kama Chelsea wanacheza!
Newcastle timu ikishinda leo Ze Yokohama inakwenda nafasi ya 16 leo hii wala hawasubiri kesho.Nafasi ya 15 bado inawahusu khe khe he he khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mafaiaso mmiliki wa Ze Bluuzz alikuwa amekaa na Drogba pembeni ameonekana akipiga makofi alama ya kufurahia matokeo ya mechi 3-1, pia anaonekana kujipongeza kwa mkasi alioupitisha kwa Domokaya.
![]()
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Acha kujaza sever mpenzi wa timu ambayo mwanangu yuko form 3 hajawai kuona mkiinua kombe LA EPL ananisumbua kila siku kuniuliza lini mtachukua kama wenzenu man u,Chelsea na man cityNilitegemea GT wa Jf walione hili huyo jamaa aliyekaa yeye sio mshabiki wa Chelsick? Je, kwa nini hakufurahia kama wengine?