alishinda kwa mbinu chafu, sasa mbinu zimeshtukiwa. na wachezaji ni wale wale wamechokaa, mpira wa morihno ulikua mbovu tokea msimu huu unaanza tokea game la kwanza na wala hata haiusiani na Dr.Eva, mana hata pre season yote tumenyukwa ...............
Mbona Mourinho amekuwa mzee ghafla shida ni nini??
Jose alipaswa kujiuzulu mapema kabla jahazi halijazama
Jose alipaswa kujiuzulu mapema kabla jahazi halijazama
Huyu si ndo alikuwa akimkejeli Wenger kuwa 'bingwa wa kufeli'
Kuondoka kwa Mourinho kwangu kumeniacha na mambo kadhaa kichwani. Kitu pekee ambacho Mourinho alikosea ni kumtimua yule Mdada, na bila shaka aliwekwa chini ili abadili msimamo wake, sitashangaa kama Mourinho aliendeleza ubabe wake kwa kukataa maoni ya watu.Sidhani kama wewe kweli ni mtu wa Chelsea, Uongozi umeamua hivyo kwa sababu zao wanazozijua, lakini kwa mtu wa Chelsea na mfatiliaji mzuri utaona bila kificho ni nini kilichokuwa kinaendelea pale Darajani, Chelsea chini ya Mou haiwezi kamwe kufungwa zaidi ya mechi nne nyumbani kwa msimu mmoja,
Kwa mpenzi mzuri wa mpira hata kama uko team nyingine huwezi kufurahia Jinsi wachezaji wa Chelsea walivyokuwa wanafanya, unaweza kufurahia na kuwakejeli Team inayofungwa kama kweli wamezidiwa uwezo na mbinu za kimchezo, lakini sio team inayoamua kujifungisha na kucheza chini ya kiwango
Mou Kaondoka sisi tutabaki, lakini nimesikitishwa sana na fitna zilizokuwa zinafanywa wazi kabisa na wachezaji wetu, ni fitna za kiswahili kabisa, imagine team inashambulia adui na adui yuko ndani ya peessure kubwa, adui anabahatika kubutua mpira mpaka katikati ya kiwanja na kuwakuta wachezaji wenu watatu na adui mmoja, mchezaji wenu baada ya kurudisha mpira kwenye team iliyo under pressure anaamua kwa maksudi kabisa kurudisha mpira kwa kipa wake ili adui apate relief,
Kwa taarifa yako tu wengine ni wafuatiliaji wazuri sana wa team yetu pendwa na tatizo tangu mwanzo tuliliona na Mou alikuwa analijua
Again mpaka sasa sipati picha inakuwaje Pro wakubwa kabisa wanakubali kujidharirisha kwa kiasi kile?
CC: Ntuzu, Mentor, everlink, peterchoka, kalou, Rondo, Wacha1
Sidhani kama wewe kweli ni mtu wa Chelsea, Uongozi umeamua hivyo kwa sababu zao wanazozijua, lakini kwa mtu wa Chelsea na mfatiliaji mzuri utaona bila kificho ni nini kilichokuwa kinaendelea pale Darajani, Chelsea chini ya Mou haiwezi kamwe kufungwa zaidi ya mechi nne nyumbani kwa msimu mmoja,
Kwa mpenzi mzuri wa mpira hata kama uko team nyingine huwezi kufurahia Jinsi wachezaji wa Chelsea walivyokuwa wanafanya, unaweza kufurahia na kuwakejeli Team inayofungwa kama kweli wamezidiwa uwezo na mbinu za kimchezo, lakini sio team inayoamua kujifungisha na kucheza chini ya kiwango
Mou Kaondoka sisi tutabaki, lakini nimesikitishwa sana na fitna zilizokuwa zinafanywa wazi kabisa na wachezaji wetu, ni fitna za kiswahili kabisa, imagine team inashambulia adui na adui yuko ndani ya peessure kubwa, adui anabahatika kubutua mpira mpaka katikati ya kiwanja na kuwakuta wachezaji wenu watatu na adui mmoja, mchezaji wenu baada ya kurudisha mpira kwenye team iliyo under pressure anaamua kwa maksudi kabisa kurudisha mpira kwa kipa wake ili adui apate relief,
Kwa taarifa yako tu wengine ni wafuatiliaji wazuri sana wa team yetu pendwa na tatizo tangu mwanzo tuliliona na Mou alikuwa analijua
Again mpaka sasa sipati picha inakuwaje Pro wakubwa kabisa wanakubali kujidharirisha kwa kiasi kile?
CC: Ntuzu, Mentor, everlink, peterchoka, kalou, Rondo, Wacha1
Kuondoka kwa Mourinho kwangu kumeniacha na mambo kadhaa kichwani. Kitu pekee ambacho Mourinho alikosea ni kumtimua yule Mdada, na bila shaka aliwekwa chini ili abadili msimamo wake, sitashangaa kama Mourinho aliendeleza ubabe wake kwa kukataa maoni ya watu.
Lakini Je, hii ndo sababu kuu ya kufanya Wachezaji waipeleke timu hapa ilipo?
Binafsi naona wachezaji wamebugi, wangetafuta namna pekee ya kumwondoa Jose Mourinho ila sio hii ya kuigharimu timu, kuanzia matokeo mpaka pesa za kumlipa Mourinho.
Pia Abramovic naona anatengeneza roho ndani ya Chelsea, hii roho ya wachezaji kumkataa timu itaendelea ndani ya timu. Ni tabia chafu na inapaswa kukemewa ndani ya club.
Wapo watu wanambeza Mourinho na wengine wanathubutu kusema Guardiola ni bora kuliko Jose Mourinho, haya ni matusi kwa wafuatiliaji wa soka, ni matusi makubwa sana. Mourinho is special, better than Guardiola.
Kwa nimjuavyo Mourinho, sakata hili la Chelsea nimemuona ana hekima na busara pia. Mourinho hakutaka kuchimba sana kuhusu matokeo yake ndani ya Club, alisema tu kuwa kuna wachezaji wanamhujumu, na hakutaka kuchimba sana juu ya hilo ila watu tuliona hizo hujuma.
Mwisho wa yote namtakia kila la heri Jose Mourinho aendako.