RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,890
- 129,941
Tatizo ni Faby mwenyewe wala sio Moureen kwasababu kz ya fuso inafanywa na Matic yeye ata kupenya km Vitz ameshindwa?
Ukiongeza na matokeo ya leo, itakuwa mmeachwa na Man. City na mmeolewa na Everton?Tumeachwa na man city kwa point 8,means lazima wapoteze mechi 3,ishu watapoteza kwa nani,bado tuna kazi!
Habari zilizotufikia hapa ni kuwa Asmir aliisahau mikoba aliyopewa na Courtois darajani....
![]()
Itabidi Asmir Begovic achukue mikoba yake...!
![]()
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905;
Ground: Stamford Bridge,
Capacity: 41,837
Owner: Roman Abramovich
Chairman: Bruce Buck
Manager: Jos Mourinho
League: Premier League
2013â14: Premier League, 3rd
Website: ChelseaFC.com
![]()
![]()
![]()
Follow this thread for team updates!
Msijesema nimekimbia jukwaa....nimeumia sana leo...sana yani....
Maumivu ya kichwa huanza kidogo kidogo!
Ntuzu, Kalou, Mentor, Munumbu, Manumbu, Nando, Kulungu, Sulungu, Enzo, Kenzo, Root, Mzizi, Kituko, Vituko na wale wote wanaochungulia tu na kumlaani Mou.
Msijali hii ya leo pia ni "a fake result".
Tairi za Yokohama bado zinapashwa moto na kujazwa upepo wa kutosha.
Mlimuona Mou leo alivalia kama anaenda maonesho ya mitindo ya mavazi.
Maumivu yakipungua mrudi mje mtoe uchambuzi wa kina.
Yule Kalou ameenda wapi? Alisema aachwe apumue lakini Everton waliweka pamba masikioni.Msijesema nimekimbia jukwaa....nimeumia sana leo...sana yani....
Maumivu ya kichwa huanza kidogo kidogo!
Yule Kalou ameenda wapi? Alisema aachwe apumue lakini Everton waliweka pamba masikioni.
Na Ntuzu nae amekimbilia wapi?
Mentor , Kwa nini umeumia sana? Nini kimekuumiza?
Everton imedondosha bomu la nyuklia kwa timu ya darajani.Kunani hapa mbona kuna majonzi??
Sare 1
Lost 3
Win 1
Points 4
Goli ngapi vile za kufungwa?
Ngoja nicheze kwanza uefa ndio ntaongea....kwa sasa ngoja Nile malimau tu....
Nyavu za Chelsea zimetikiswa mara 12.
Nimefurahi kuona, "you still have a sense of humor."
Wenger ananoa panga ......
Panga lake litamkata mwenyewe... Bora kufungwa na Everton lkn sio huyu Wenger.....
Bado vijanà wa Emirates wanakuja kuharibu tena daraja.Everton imedondosha bomu la nyuklia kwa timu ya darajani.