Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Duh long time sijafika huku mrs. mcharo wangu everlenk upo salama lakini!??? Hata mimi nilistaafu soka kwa muda. Wikiendi hii tunaenda kumfundisha soka Lukaku. Nakwambia hadi John Stones atajuta kwa nini hakujiunga na sisi...

#vivaChelsea


Aisee bado mnamfundisha Lukaku mpira...? Natumaini Stones hatajuta kutokuja Chelsea!!
 
Morinho alikosea kukosana na yule dokta, haya ndio malipo, apunguze kiburi amuombe msamaha watu wafanye kazi... akifungwa leo ndo byeee maana jana tayari mwenye timu katinga mazoezini....
 
Point 11 nyuma tayari... afu bado Arsenal daaah msimu huu si wetu kabisa, hii yote sababu ya dharau za Morinho
 
Hatariiiii!!!Mzimu Wa Dokta Unafanya Kazi,wakina Hazard Wanataka Huduma Ya Yule Mama....Sema Duh Chelsea Yang Inanipa Presha Kwenye Siasa Napo Dah!!
 
35' Mins | Everton 2 - 1Chelsea 0

Naismith 17', 22' ( Everton)
Nemanja Matic 35' (chelsea)
 
Tangu mourinho ampumzishe yule mwanamama daktari laana inamwandama. Hii game mkipigwa mtakuwa mmeathiriwa kisaikolojia kwa kiasi kikubwa. Kila game mtakuwa mnacheza kwa hofu mkiogopa kupigwa.
 
41' Mins | Everton 2 - 1Chelsea 0

Naismith 17', 22' ( Everton)
Nemanja Matic 35' (chelsea)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom