KalouIvanovic katika ubora wake...
KTBFFH
Kalou
Hali ya dugu yangu, Ntuzu ikoje?
Nilimuuliza msimu ulipoanza kiafya na kisaikolojia ameshajitayarisha?
Alinijibu kuwa hana mgogoro wa kiafya.
Haya matokeo ya leo pia ni "a fake result"?
Nasubiri kauli ya domokaya atasemaje leo!!
Au Pre-season friendly ndio zinaendelea?
Falcao alitamani kuwa shujaa leo, huenda atabahatika siku ingine.
Peopleeeeeeeeeezzzzzzzzz aha !!! Kumbe niko humu The Bluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz #KTBFH[color]
Ft chel1- 2
Hongerela falcao
Unasema katika ndimi? Timu yangu mimi Nonda imebomoa daraja na imechoma matairi ya Yokohama leo.Msiba everywhere
Buluuzziii walijitahidi kujiangusha angusha na kujigaragaza lakini leo mwamuzi hakutaka kuwabeba sana.
Huku mujini wanasema, wataisoma nambaaa!!!
Ntuzu amebadili Id na kuwa shabiki wa Man. City? Au ni msongo tu wa mamazo uliompoteza baada ya kipigo?
Ivanovic katika ubora wake...
KTBFFH
Yule mrembo, doctor Eva alikuwa anawapa dawa hizi chezaji za Buluziii, sasa Mou itabidi akubali tu kumrejesha ili wachezaji warudishe mori.Chelsea msimu ulopita pamoja na kuwa mabingwa lakini walifungwa magoli 32 na msimu huu tayari wamefungwa magoli 9.
Na Everton hawatomruhusu John Stones kwenda Chelsea.
Kalou
Hali ya dugu yangu, Ntuzu ikoje?
Nilimuuliza msimu ulipoanza kiafya na kisaikolojia ameshajitayarisha?
Alinijibu kuwa hana mgogoro wa kiafya.
Haya matokeo ya leo pia ni "a fake result"?
Nasubiri kauli ya domokaya atasemaje leo!!
Au Pre-season friendly ndio zinaendelea?
Falcao alitamani kuwa shujaa leo, huenda atabahatika siku ingine.
Leo sabato atasingizia ngoja kesho tumwache leo amalize Sabato yake aje atupe majibu......
Huyu anafanya maombi au anacheza mpira?The bluuuuuzzzz
Doh!! Gharasa letu hiloooooooo bado matatu akamilishe manne kama kwetu .....lol
Don't bother yourself its a fake results.....lol