Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

katika game ambazo ni nyepesi kwa Chelsea ndiyo hii....et chelsea lazima apigwe!...over my dead body!
 
Yokohama ya kariakoo mkulu! Mchile hana chake Yule kwa Mou! Head to head mchile vs Mou Mara 13 mchile kashinda 2 tu Na kadroo 2 kachapwa 9. Huyo mchile Ni Mteja wetu tu!

Hata Wenger alikuwa mteja wenu
 
Bado Ni Mteja tu ata iweje atakua Mteja wetu tu.

hivi coudrado bado yupo au aliondoka kwa mkopo maana 80% ya wachezaji wanaocheza kwa mkopo timu zingine wanatoka chelsea.
 
hivi coudrado bado yupo au aliondoka kwa mkopo maana 80% ya wachezaji wanaocheza kwa mkopo timu zingine wanatoka chelsea.

Cuadrado yupo nafikiri sina uhakika ktk hilo lkn nafikiri hawezi kutolewa kwa mkopo sasaivi!

Tunafanya biashara ya wachezaji
 
Aisee mi sina afya ya mgogolo ata kidogo.......
Ulitakiwa kuungana na Wacha1 kule ndio mtu za aina yako,kama ni kweli huna afya mgololo, zinafaa kuwa na urafiki na le professor Wee.
 
Etihad Leo full shangwe sijui kama atapona mtu hapa.all the best cfc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…