xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Ahahaha nice one...ingawa ukweli waujua!
Sasa inakuaje huyu jamaa anaanza kurushiana maneno na mwanamke? Hyo tabia yakina mzee yusuph
Ahahaha nice one...ingawa ukweli waujua!
Sasa inakuaje huyu jamaa anaanza kurushiana maneno na mwanamke? Hyo tabia yakina mzee yusuph
Duh Benitez ana mke mbaya hivi!! Sikutegemea Latino wote waliojaa Spain jamaa ndo kaona aishie kwa huyu kata kichwa!!
Duh Benitez ana mke mbaya hivi!! Sikutegemea Latino wote waliojaa Spain jamaa ndo kaona aishie kwa huyu kata kichwa!!
hahaa! Yale maneno ya moo kwa mke wa benitez ni noma, sidhani kama atarudia kuropoka tena! nadhani aliteleza kwa kutokujua responsibility zake, moo kamnyoosha! football awaachie wanaoijua
He only told her one sentence, "take care of ur husband's health" mengine yote alikuwa anaelezea career yake.
Wamerushiana maneno saa ngapi? #hater
"for her also to think about me, I think she needs to accupy time. if she takes care of her husband's diet, she will have less time to speak about me."
mkuu soma hapo juu utagundua hilo pia ni dongo kwa benitez ukivuta picha na ule unene wake wa sasahivi
hahaa! nachompendea huwaga haungeo uongo, mke anayejali afya ya mumewe hawezi kumwalisha mume wake anenepeane vile
mkuu hili ni somo kwa wale wanawake waropokaji..my take..usirushe mawe wakati unaishi nyumba ya vioo
Wewe ndo umeeleza ukweli, lakini si neno zuri ati!! Tukianza kulichambua mhhhh!!! Na kitambi kile cha Benitez..mhhh......Mou anatisha!! Hilo neno kali sana kwa mwanamke bora angekuwa Benitez mwenyewe.....