Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahaahaaa inawezekana aisee...
Ila ningekuwa me ningesha chomoka na wew

Hahahahahahaha!!!!! Wewe mtoto hiki cha Arusha cha Leo mbona kikali embu kidilute kidogo.........umeniulia mbavu zangu....... Mimi ningekuwa me wewe ungenikoma walahi!!!!
 
Na ulivyo na mahipsi na usafiri mweee akynaniiii ningekuhonga adi ukoo wetu.
Nakutamani ujue..
Hahahaahaaa
 
Hahahhahahha!!!! Haki ya mama najuuutraaaaa kukuchokoza mbonaaa!!!!!........ujue naonekana kama kichaa hapa nilipo kwa kicheko!!!!
 
Hahahaaa ngoja nisamehe mbavu zako. twende kule kwetu Watu hapa wapo kwenye maombolezo si unaona kazi zote zimestop? Kumbe msiba bado haujaishaa. Hahahaaa
 
Na ulivyo na mahipsi na usafiri mweee akynaniiii ningekuhonga adi ukoo wetu.
Nakutamani ujue..
Hahahaahaaa

Nimepita kusalimia jukwaa la Ntuzu ila nimeona pia nikusalimie cute b. Umetia kisu kwa moyo wangu. Haya endeleeni kushabikia Chelsea, ila msisahau msimu huu arsenal ndoo yetu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom