Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,913
Welcome back @agosti8
Kwa mara nyingine nawashukuru sana kwa sapoti yenu wadau...
😛ray2:
sasa nimerudi; ngoja turudi kwenye mpira..
ili jukwaa lichangamke;
naomba mkuu Ntuzu utoe mada tujadili jamani....
:A S soccer:
Ningependa tujadili kuhusu ujio Wa Falcao hapo darajani. Kwamba anaweza akarudisha makali Yake au vipi?
kwa ujio wa FALCAO naona kama mechi nyingi itabidi tucheze 4-3-3 ili kuwapa nafasi FALCAO, DIEGO COSTA NA EDEN HAZARD kucheza kwa pamoja mbele...
ila kuna watu watapata shida ya kupata namba..mfano WILLIAN na OSCAR na CUADRADO.
ndo maana bado mfumo wa 4-2-3-1 bado ni mzuri zaidi kwa chelsea..
Makali ya mchezaji yanategemea mambo kadhaa:
1. Kujiamini kwa mchezaji mwenyewe..
2. Mfumo wa timu husika.
3. Ushirikiano anaopata kutoka kwa wachezaji wenzake nje na ndani ya uwanja.
4. Imani ya kocha wa mchezaji husika.
Falcao ni dead wood kwa kiyunani. Naamini ni back up kwa Costa.
Nimeona ratiba tunaenda America kwa pre-season...
na 'the beast' RADAMEL FALCAO atavaa # 9.
hii jezi inasumbua sana kwa miaka 10 iliyopita..tehe tehe tehe ngoja tuone kama huyu jamaa ataitendea haki..
Huenda alikuwa 'dead wood' akiwa Man Utd..
FALCAO afunge goli 10 kwenye ligi zinatosha CHELSEA FC kutetea ubingwa..
Maana hapo Hazard, na Diego watajazia magoli yanahitajika kwa bingwa; usisahau kwamba mabeki wetu ni wafungaji pia.
Falcao "The beast " baada ya kuhamia Chelsea ?