Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama kuna jezi za bei che kuliko zote ni jezi za SIMBA...hebu niambie ni shule ngapi hapa bongo zinatumia hizo jezi? #achaWIVU.

Waliosimama kuanzia kushoto...
1. Carvalho
2. Geremi
3. Gallas
4. Cuducini
5. Gudjhonsen
6. Lamps

Waliochuchumaa kutokea kushoto;
7. Crespo
8. Makele
9. Robben
10. Ferreria
11. Duff

Kumbe Simba nilifikiri MU nilikuwa nimeokota bonge la jiwe!!!!!!.....Hamna bana jezi zenu ndo hivyo tena kwa timu za nje shule zote za kina Mey wanatumia cha ajabu siku hizi hadi kanumba wanachanganyia na za Taifa stars.
 
Ana wivu tu huyu mwanamke
Ahhh!! kalou jamani.......sijaona wivu bado mkitaka nikomeshe mwakani mbebe ndoo nyingine kwa mbaali ntaanza kuona wivu......lol

Biashara ni mauzo na manunuzi..uzuri na ubaya ni juu ya mnunuaji...#hater!

we parked the bus tukatoka 0 - 0 ??????? #youKNOWbetter

Wanunuaji wengine kiazi hawajui lolote.....

Mhhhhhhhhhhh!!!!! Hamna lolote boring futbol....
 
Last edited by a moderator:
Ahhh!! kalou jamani.......sijaona wivu bado mkitaka nikomeshe mwakani mbebe ndoo nyingine kwa mbaali ntaanza kuona wivu......lol

Wanunuaji wengine kiazi hawajui lolote.....

Mhhhhhhhhhhh!!!!! Hamna lolote boring futbol....

Najua ile penalt ya Drogba ya kuchukua champions league lazima uliruka ruka tu hata kama una roho mbaya.. kushinda vikombe kuna utamu wake ,
 
Last edited by a moderator:
Tumekumithi pia .....hilo jukwaa lenu dogo linawafanya msikuje huku.....huwezi amini cute b naye sijamuona long ila rada yangu inaonyesha yuko celebrity forum kwa kiba kama si Mond......

Hahahaaaaaa everlenk sikuwa celebrity lol mkoloni anakaba balaa yaan apa ndo kaachia.
Alafu nishapokea mshahara ujue ni mwendo wa kula bata tuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa everlenk sikuwa celebrity lol mkoloni anakaba balaa yaan apa ndo kaachia.
Alafu nishapokea mshahara ujue ni mwendo wa kula bata tuu

Pole sana mumy..... Naomba mualiko......
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa everlenk sikuwa celebrity lol mkoloni anakaba balaa yaan apa ndo kaachia.
Alafu nishapokea mshahara ujue ni mwendo wa kula bata tuu
cute b ujue Mimi nakupenda sn ujue? Wala ukinipa huo mshara nikushikie sichomoi ata buku!:what::what::what:

Hahahaaa hapana Ntuzu mimi nipo na RRONDO ndo kwanza tunaamka.
Mimi mond simtaki nipo njia kuu buanaaaa
RRONDO lazima nimpore mrembo wake kabisa

Pole sana mumy..... Naomba mualiko......

Sasa Na wewe unataka mualiko wakati mi nataka nimtoe upepo Wa pesa?
 
Last edited by a moderator:
cute b ujue Mimi nakupenda sn ujue? Wala ukinipa huo mshara nikushikie sichomoi ata buku!:what::what::what:
Uwiiiii wewe? Hahahaaa labla unisaidie kazi tuu.

RRONDO lazima nimpore mrembo wake kabisa
ata ukimpora atakuwa ametumia vya kutosha

Sasa Na wewe unataka mualiko wakati mi nataka nimtoe upepo Wa pesa?

sichuniki ng'oo hahahaa
 
Last edited by a moderator:
Asante mamy...vip upo poa lakini? Naona leo watoto wa mou wamekuta ukacheze kwao

Mie Niko poa kabisa leo nimewakumbuka wachumba nimeamua kuwachokoza makusudikally, mumy tuachie Uzi wa watu maana mimi na wewe tukishilia Uzi utatukoma!!!!
 
ni kweli muda kidogo kwa wale walikuwa hawajaanza kucheki game naweza kuwapa baadhi ya wachezaji hawa waliochuchumaa kutoka kulia Damian Duff, (Huyu nimemsahau); Arjen Robben; Claude Makalele (Moyo wa kiungo); Herman Crespo

Waliosimama toka kulia - Frank Lampard (Jembe la kiungo mshambuliaji; Edger Gudjohnson, Cudicini; William Gallas; Geremi ; huyo wa mwisho nimemsahau.

uliemsahau aliyechuchuma ni paul ferreira na aliyefuatana na lampard ni ediur gudjohnson si edger na uliyemsahau wa mwisho ni ricaldo carvalho
 
ni kweli muda kidogo kwa wale walikuwa hawajaanza kucheki game naweza kuwapa baadhi ya wachezaji hawa waliochuchumaa kutoka kulia Damian Duff, (Huyu nimemsahau); Arjen Robben; Claude Makalele (Moyo wa kiungo); Herman Crespo

Waliosimama toka kulia - Frank Lampard (Jembe la kiungo mshambuliaji; Edger Gudjohnson, Cudicini; William Gallas; Geremi ; huyo wa mwisho nimemsahau.

na yule c geremi njitap yule alikuwa anaitwa green kama cjakosea
 
Mimi ni Chelsea damu ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora kwani haiwezekani miaka 200 uefa mara 1
 
11701185_1491070637599814_5474008603152547119_n.jpg
 
kulikua hamna hat umuhimu wa kuingia kila jukwaa, na kuweka comment hii, inaonyesha hujielew unashabikia timu gani!'.........

Achana na PNC 1! Hana hata chembe wala harufu ya Chelsea achilia mbali damu! Hiyo timu anayodai ni bora kwetu ndo tulifanya uchochoro na daraja la kuchukulia ndoo ya uefa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom