Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

11257974_1165160636843576_8768710494835072225_n.jpg

GOOD OLD DAYS....
 
Ukiona hivyo hazifai very cheap mpaka zinachezewa hofyo hofyo !!!.....Nigeria mbali hapa hapa bongo nursery kibao za mitaani wanazitumia, vere vere chip......lol.....nakusalimu tu dear.

Wewe tengua kauli yako. Utaniuzi mamito!
 
Kwendràaaaaaaa!!!!! Nani wa maana mlimuuza???..... Subirini kama mna kismati na Arsenal timu zote walizouza Arsenal wameosha ila nyie mna gundu Welbeck ikakataa kwa UCL but ohh! Ikakubali EPL na style ya bus.....lol......hapa nimekukiss tu dear......
 
And he scored same way dat same day, respect king Drogba

11666202_1166430463383260_2002189639247467643_n.jpg

After parking bus ...........!!! Rent boyz kwa misifa hamjambo,very antfutbol......boss wenu mwenyewe alitukubali anamwambia huyo Mou wenu anataka kufurahia soka........ just a hug now......lol
 
11257974_1165160636843576_8768710494835072225_n.jpg

GOOD OLD DAYS....
ni kweli muda kidogo kwa wale walikuwa hawajaanza kucheki game naweza kuwapa baadhi ya wachezaji hawa waliochuchumaa kutoka kulia Damian Duff, (Huyu nimemsahau); Arjen Robben; Claude Makalele (Moyo wa kiungo); Herman Crespo

Waliosimama toka kulia - Frank Lampard (Jembe la kiungo mshambuliaji; Edger Gudjohnson, Cudicini; William Gallas; Geremi ; huyo wa mwisho nimemsahau.
 
Nimepotea sn humu jamani! Yani mikwara yenu na vurugu zenu nimezimithi.....!

Wapi mutoto cute b? Mpe Hi sn Bi mdogo huyo!

Tumekumithi pia .....hilo jukwaa lenu dogo linawafanya msikuje huku.....huwezi amini cute b naye sijamuona long ila rada yangu inaonyesha yuko celebrity forum kwa kiba kama si Mond......
 
Last edited by a moderator:
ni kweli muda kidogo kwa wale walikuwa hawajaanza kucheki game naweza kuwapa baadhi ya wachezaji hawa waliochuchumaa kutoka kulia Damian Duff, (Huyu nimemsahau); Arjen Robben; Claude Makalele (Moyo wa kiungo); Herman Crespo

Waliosimama toka kulia - Frank Lampard (Jembe la kiungo mshambuliaji; Edger Gudjohnson, Cudicini; William Gallas; Geremi ; huyo wa mwisho nimemsahau.

Huyo ni Ricaldo Carvahlo
 
Tumekumithi pia .....hilo jukwaa lenu dogo linawafanya msikuje huku.....huwezi amini cute b naye sijamuona long ila rada yangu inaonyesha yuko celebrity forum kwa kiba kama si Mond......

Tatizo huku kumepoa sn hakuna tambo wala vurugu! Ona mutoto cute b yuko huko kwa Mond hii si balaa Sasa! Au anataka amuondoe Zali amkombe Mond?
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni Ricaldo Carvahlo

Yule wa simba sijui Yanga au???......hahahaha nimekumith wewe jamani uko poa?...... Wachezaji WA bongo wananiudhi sana wanatumia majina makubwa halafu hawayatendei haki....aka Messi wa Simba vere kuwachanganya watoto wetu wanashindwa kujua Messi mwenyewe ni yupi....
 
Ukiona hivyo hazifai very cheap mpaka zinachezewa hofyo hofyo !!!.....Nigeria mbali hapa hapa bongo nursery kibao za mitaani wanazitumia, vere vere chip......lol.....nakusalimu tu dear.

Kama kuna jezi za bei che kuliko zote ni jezi za SIMBA...hebu niambie ni shule ngapi hapa bongo zinatumia hizo jezi? #achaWIVU.

11257974_1165160636843576_8768710494835072225_n.jpg

GOOD OLD DAYS....

Waliosimama kuanzia kushoto...
1. Carvalho
2. Geremi
3. Gallas
4. Cuducini
5. Gudjhonsen
6. Lamps

Waliochuchumaa kutokea kushoto;
7. Crespo
8. Makele
9. Robben
10. Ferreria
11. Duff
 
Yule wa simba sijui Yanga au???......hahahaha nimekumith wewe jamani uko poa?...... Wachezaji WA bongo wananiudhi sana wanatumia majina makubwa halafu hawayatendei haki....aka Messi wa Simba vere kuwachanganya watoto wetu wanashindwa kujua Messi mwenyewe ni yupi....

Hah hah..Mesi wa bongo anaishi chumba kimoja cha kupanga na blaza wake, tena anahifadhiwa tu
 
Kama kuna jezi za bei che kuliko zote ni jezi za SIMBA...hebu niambie ni shule ngapi hapa bongo zinatumia hizo jezi? #achaWIVU.

Waliosimama kuanzia kushoto...
1. Carvalho
2. Geremi
3. Gallas
4. Cuducini
5. Gudjhonsen
6. Lamps

Waliochuchumaa kutokea kushoto;
7. Crespo
8. Makele
9. Robben
10. Ferreria
11. Duff

Ana wivu tu huyu mwanamke
 
Kwendràaaaaaaa!!!!! Nani wa maana mlimuuza???..... Subirini kama mna kismati na Arsenal timu zote walizouza Arsenal wameosha ila nyie mna gundu Welbeck ikakataa kwa UCL but ohh! Ikakubali EPL na style ya bus.....lol......hapa nimekukiss tu dear......

Biashara ni mauzo na manunuzi..uzuri na ubaya ni juu ya mnunuaji...#hater!

After parking bus ...........!!! Rent boyz kwa misifa hamjambo,very antfutbol......boss wenu mwenyewe alitukubali anamwambia huyo Mou wenu anataka kufurahia soka........ just a hug now......lol

we parked the bus tukatoka 0 - 0 ??????? #youKNOWbetter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom