Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Falcao atakuja darajani, na atafanya mengi hakika aminini wadau.....CFC na Mou haifanyi makosa!

Natamani sana iwe hivyo. ingawa kwa sasa ana wakati mgumu sana to prove everyone wrong. unajua tena experience ya Torres bado iko fresh kabisa kwenye vichwa vyetu wengi wetu. na kumbuka pia tunae dogo potential sana Roic Remy ambaye kwa ufupi hajatumika kikamilifu sana. Na unajua pia tuna history ya big names strickers waliochemsha darajani i.e Chevchenko etc. no wonder kama ni opinio poll blues wengi wangesema bora tumchukue Ibrahimovic kuliko Falcao

Kuna kitu Mou atakua anakiamini na kukiona kwa Falcao lkn km atachemsha basi itakua ni aibu kwa Mourinho mbele ya LvG lkn Mou km atafanikiwa ktk hicho kitu na Falcao kurudi ktk pick Yake basi LvG ataonekana Mwalimu hafai!

Binafsi naamini Falcao atafanya vzr km majeruhi hayatomuandama na pia akipewa ushirikiano mkubwa na viungo wapishi Wa nguvu basi Falcao lazima awe moto.

Msimu ujao nahisi tutakua na magoli mengi sn ya kufunga kwasababu kuja kwa Falcao darajani kutaongeza presha ya kujituma kwa Costa na Remy hapo ndio patamu sasa! Na kuna dalili zote msimu ujao tukaweza kucheza mfumo wowote ule ata mfumo Wa kuweka strikers wawili mbele.

Duh Mourinho kweli kiboko
 
Falcao dream yake ilikuwa kwenda Real Madrid but Perez alikuja kuchomoa mwishoni sababu ya majeruhi,Monaco walikuwa frustrated kwani wao walitaka kumuuza moja kwa moja so only Man United wakamtaka kwa mkopo kama akifanya vizuri,

Falcao hawezi kurudia ile hali yake aliyokuwa nayo Atletico au Porto.
LVG hajachemsha kwa Falcao kumbuka alikuwa ana chance ya kuwa striker no moja baada ya RVP kuchemsha na Rooney kuchezeshwa kiungo.
Morinyo anataka back up striker kama alivyomchukua Etoo then Drogba but Drogba was the best sababu anafit vizuri kwenye mfumo wake na alikuwa Legend wa Chelsea,tayari anao Costa na Remy ambaye nashangaa Jose haumpi nafasi .
So Falcao itabidi akubali kuwa striker no 3 na muda mwingi atakuwa benchi ukizingatia bado hajawa fit na mabeki wa EPL wanamjulia sana kumkaba
 
Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wazo la kusherehekea ushindi ni zuri sana, lakini linavyoongelewa ni kama muafaka haujapatikana. Mimi napendekeza tukutane pale mlimani city jumamosi moja tukiwa na jezi zetu kama kitambulisho halafu tukaliongea na kupanga kwa ukamilifu siku na muda na mahali kwa shughuli husika. Au kama hilo tayari tualifuni, naisubiri siku hiyo kwa hamu!
 
Mourinho anaamini kuwa tatizo la Falcao ni la kisaikologia zaidi kuliko ufundi! Hivyo dawa yake ni ya kisaikologia pia, na Mourinho ni mzuri sana katika hilo! Falcao anahitaji muda wa kutosha wa kuaminiwa na kupendwa! Yote hayo atayapata darajani, na atarudi kwenye makali yake hata kuzidi!
 
Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!

Unajua Ujio wa Falcao pale Darajani, uko tofauti sana na ujio wa Torres, Chev, Crespo, Mutu nk, hao niliowataja wamekuja wakiwa wako vizuri ila walichemsha pale Darajani ila kwa Falcao yeye tayari hayuko fit kivile, kwa hiyo akishindwa kuperfom wala haitakuwa big deal sana,

all in all Mou atamtengeneza tu jinsi anavyotaka awe
 
Falcao dream yake ilikuwa kwenda Real Madrid but Perez alikuja kuchomoa mwishoni sababu ya majeruhi,Monaco walikuwa frustrated kwani wao walitaka kumuuza moja kwa moja so only Man United wakamtaka kwa mkopo kama akifanya vizuri,

Falcao hawezi kurudia ile hali yake aliyokuwa nayo Atletico au Porto.
LVG hajachemsha kwa Falcao kumbuka alikuwa ana chance ya kuwa striker no moja baada ya RVP kuchemsha na Rooney kuchezeshwa kiungo.
Morinyo anataka back up striker kama alivyomchukua Etoo then Drogba but Drogba was the best sababu anafit vizuri kwenye mfumo wake na alikuwa Legend wa Chelsea,tayari anao Costa na Remy ambaye nashangaa Jose haumpi nafasi .
So Falcao itabidi akubali kuwa striker no 3 na muda mwingi atakuwa benchi ukizingatia bado hajawa fit na mabeki wa EPL wanamjulia sana kumkaba

Mou kiboko, Costa aangalie vzr falcao anaweza kumweka bench tusubili
 
Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!

Dada nikwambie tu km n wazo LA josee kumtaka falcao tumelamba dume lkn na hizo picha hutapata sababu ya kuzirejesha kama n uongoz Wa juu kwa maslai yao itatakuwa noma,
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda hii interview

What has been the biggest difference between La Liga and the Premier League?

I think the biggest difference is the intensity of the game. There are more duels and stronger duels in the Premier League than La Liga as well as more long balls and there are more really tough games for goalkeepers.

If you had to choose a five-a-side team for Chelsea, including yourself, who would be in it?

I would pick John Terry, Eden Hazard, Cesc Fabregas and Diego Costa.

What has been your favourite or best save this season?

I think I have made some nice saves but it is hard to choose one because sometimes one is maybe less beautiful but more important, like against QPR for example where we won 1-0 and the save I made at the end was maybe not the best I made but the most important. Then against Liverpool and PSG I made some nice saves, but I cannot really choose one.

Technically what do you feel you need to work on to become an even better goalkeeper?

I think I need to improve on my footwork and my kicking. I think that's what I need to work on the most. The rest, I will keep on learning because I am still young and learn more every year so that's what I try to do.

Mike Hewitt/Getty Images

What has been the best and worst thing about moving to London?

London is a big city and like Madrid there are a lot of things to do. It is good to go for dinner and to go shopping. The worst differences between Madrid and London are the weather and the traffic!

Chelsea only lost three games in the Premier League last season. Do you think it is possible to go unbeaten in the Premier League?

It is possible. There are teams who have done it already but it's hard, the Premier League is a tough league and to go unbeaten for a whole season is difficult because you will always have one match where you won't be at the top of your game and even against a smaller side you can lose.

Who is your best friend in the Chelsea squad and why?

I don't really have one best friend. Eden for example, I know him very well from the national team and I sit next to him in the changing room but as well, the Spanish players who I played with, and in general like Azpilicueta and Fabregas, I speak a lot with them. Because I knew Filipe Luis and Diego Costa from Atletico we are still very close, so I don't have one but I think this team is very good together with everybody.

Who is the biggest joker in the dressing room? Have there been any good practical jokes?

There are some funny guys. Everybody jokes around at the training ground or at the hotel. But I think Diego Costa, even though he cannot speak English he is funny and everybody has to laugh at him! He makes jokes on the pitch and has a lot of fun on the pitch.

Who is the worst dressed Chelsea player?

That is a good question! I wouldn't say Loic Remy is the worst dressed but he just has a different style to how others dress. I don't think he's badly dressed but sometimes he may wear strange jeans or a strange t-shirt - but I think it is his own style and it's nice as well. I think everybody in general is well dressed at Chelsea.

Of all the young players who have played and trained with the first team is there anyone who has particularly impressed you and you think people may see a bit more of next season?

I think Ruben Loftus-Cheek. He played in the last few league games and played well. I think he made the most progress but also there is Izzy Brown, Dominic Solanke, Charly Musonda, Andreas Christensen and Nathan Ake. All of them trained really well last season and I think next season they could have more playing time in the first team as Ruben has started to do so well.

Courtois discusses the youngsters, picks his Chelsea 5-a-side team - We Ain't Got No History
 
Wazo la kusherehekea ushindi ni zuri sana, lakini linavyoongelewa ni kama muafaka haujapatikana. Mimi napendekeza tukutane pale mlimani city jumamosi moja tukiwa na jezi zetu kama kitambulisho halafu tukaliongea na kupanga kwa ukamilifu siku na muda na mahali kwa shughuli husika. Au kama hilo tayari tualifuni, naisubiri siku hiyo kwa hamu!

nadhani hii party itabidi isubiri baada ya Ramadhani. either tuipange weekend ya kwanza baada ya Ramadhani au tuiweke kwenye Idd pili ili tuue ndege wawili kwa jiwe moja. ni pendekezo tu
 
ni idea nzuri kwakweli kama tukionana ma-fans wa #theBlues , nimeipenda na natamani iwe hivyo
 
everlenk adui mwombee njaa siyo? Chelsea tuko vizuri sana sasa hivi! zile enzi za mivutano ya usajili kati ya Maurinho na bosi wake zimeisha. kwa huu muafaka wao, lazima wameona kuna potential ya nguvu toka kwa Falcao. vinginevyo wasingemchukua. na kumbuka Falcao, as he is now, ni striker namba 3 baada ya Diego na Remy. Aki pull up his socks atapata namba. akileta za kuleta inakula kwake na hatupati maumivu kihivyo. na usisahau nguvu yetu kubwa iko kwa viungo, ambao nao ni wafungaji wazuri sana pia. so anakuja ku supplement kilicho bora tayari. haji kuibeba timu kama alivyokuja Torres siku zile halafu akawa flop. Falcao akiwa flop hatatuathiri kihivyo.

Ila na ww changamoto yako ni kuwa kama Falcao akiwika darajani ingia jukwaani umpe like za nguvu! usilete zile za wanazi wa uswazi "ooh alikuwa wetu huyo khakha!!"

Ntuzu na Manumbu mimi yangu macho na masikio kushuhudia kile ambacho the so called Special one anakiona kwa Falcao ambacho ulimwengu hujakiona........Falcao si yule tena wa Porto na Athletico hata nikimwangalia kwenye Copa America hapana kwa kweli kidogo jana alicheza vizuri dhidi ya Brazil..... ila kanifurahisha alivyonyoa kapendeza sana kawa HB.........Ombeni dili litiki afit lakini ikiwa vinginevyo filimbi na tantaranta nitakazozipiga humu ndani mtanikimbia..... Hasa wewe Mentor nina usongo na wewe msimu ujao acha tu, nitakurudishia mapicha yako yote uliyotupia OT kumuhusu Falcao..........lol.....nimewamiss sana hiyo ni salaam jamani!!!!
 
Last edited by a moderator:
Manumbu mimi ni mpenzi wa mpira na so shabiki wa mpira,Falcao akifanya vizuri nitampongeza tu hadi Mou ntamfagilia .....
 
Last edited by a moderator:
So after Failcow miserably fail to shine as a proper striker at a Manchester United now he's on the verge to try to
become a defensive striker at Chelsea.
 
Ngoja aje alete kilio hapo Emirates ndio mtakuja kujua kua ni defensive striker au offensive striker!:what::what::what:
 
Kama alivyofanya msimu uliopita kwa kuanguka anguka kama mlevi wa chimpumu

Huo ulevi Wa chimpumu kazoea Mzee wenu Wenger ndio maana anapiga mieleka ata ktk vituo vya vya treni!
 
Complete the below sequence ; Ozil to
Arsenal...... Real Madrid won UCL 2013 /2014
Sanchez to Arsenal.... Barcelona won UCL
2014 /2015 Cech to Arsenal..... Guess who will
win champions league 2015/2016????????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom