Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu mniwe radhi nimekua sipiti Mara kwa Mara humu kiasi nimechelewa kujibu hoja ya Manumbu!

Tuko pamoja wakuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu asante kwa inputs za mbolea mno hapo juu. binafsi napendekeza wewe, Mentor na August8 kama yupo mchukue hili jukumu la maandalizi ya hii party. nyinyi na magwiji wa miaka kenda rudi wa hapa jukwaani na mna portfolio kubwa ya wana Blues. Mimi nilitoa tu wazo kama kuchokoza na kuona how viable it can be. Si mbaya tukaonana na si mbaya tukajuana pia. On that ntakutafuta pembeni ili tuonane na tuone logistics zifanyweje
 
Last edited by a moderator:
meanwhile mambo yanaendelea darajani

Mourinho speaks about Juan Cuadrado's future

In the same interview that Mourinho announced his Grand Falcao Reclamation Project, the Special One also left no doubt regarding his plans for Juan Cuadrado.

"Cuadrado is not going anywhere this summer. People don't know Cuadrado yet, I have seen him many times when we were both in Italy, me at Inter and him at Udinese."

"Because of that I have a lot of hopes for him for next season. I hope in the Copa America he can regain his self-esteem, his ego and that he has that joy of playing."

-Jose Mourinho; source: Goal

The Grand Cuadrado Reclamation Project may not need to be as big as the Falcao one (or as personal), but they're both centered around self-esteem and ego and confidence, at least according to the Chelsea boss. In which case, his public quotes will obviously be aimed at helping the pair of them work out whatever issues are holding them back at the moment. Maybe one day we'll even look back on Cuadrado's assist to Falcao in Colombia's last game as the turning point.

That being said, Mourinho did specifically say 'this summer,' so if Cuadrado still isn't getting it done by January, I bet he gets the Salah-Schürrle-De Bruyne treatment and becomes the next victim in the right wing conga line.

Mourinho speaks about Juan Cuadrado's future - We Ain't Got No History
 
Mamy tatizo si hela kwasababu Ata km tukiwa hatuna hela wewe mama watoto huwezi muacha baba watoto aangaike lazima uingie kwa mfuko utoe japo kiduchu.

Wadau hawana ushirikiano Wa kuwasiliana nje ya Jf lkn kwakua hili wazo liko hapa Sasa ni vema tulisukume mbele tuone tutafanikiwa VP!
Manumbu mi Niko tayari na Niko Dar Sasa tujaribu kuwasiliana na wadau na mashabiki walio nje ya dar tuone tunafanya nini!

Okey sisi tunawasikiliza nyie ila jana pia cute b alikuja na idea moja tukutane wanasoka wote haijalishi timu gani tufahamiane ,basi mnalionaje hilo? Halafu mumo kwa mumo tunawapongeza Chelsea wote kwa pamoja coz sisi siyo maadui,tunakua tumeua ndege 2 kwa jiwe moja.....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu asante kwa inputs za mbolea mno hapo juu. binafsi napendekeza wewe, Mentor na August8 kama yupo mchukue hili jukumu la maandalizi ya hii party. nyinyi na magwiji wa miaka kenda rudi wa hapa jukwaani na mna portfolio kubwa ya wana Blues. Mimi nilitoa tu wazo kama kuchokoza na kuona how viable it can be. Si mbaya tukaonana na si mbaya tukajuana pia. On that ntakutafuta pembeni ili tuonane na tuone logistics zifanyweje

Mkuu asante sn kwa maoni yako labda mi nipendekeze kitu kimoja Mimi na wewe na Mentor tufanye kz ya kuwasiliana na wadau wote hapa na tutakua tunapeana mirejesho tumefikia wapi na pia sisi watatu tulichukue hilo jukumu la kuandaa! Tuanze na kuwasiliana na wadau kwanza mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wazo ni zuri, nimeafiki... Pendekezeni tu tarehe ila ziwe za wikiendi Mimi nitakua pa1 nanyi japo sasa hivi huku mambo ndo yameanza na nimepewa kombania.
 
Okey sisi tunawasikiliza nyie ila jana pia cute b alikuja na idea moja tukutane wanasoka wote haijalishi timu gani tufahamiane ,basi mnalionaje hilo? Halafu mumo kwa mumo tunawapongeza Chelsea wote kwa pamoja coz sisi siyo maadui,tunakua tumeua ndege 2 kwa jiwe moja.....

Good! Ukiwa km mama Mwenye ushawishi mkubwa hapa Jf ukishirikiana na mshehereshaji cute b fungueni pm zenu muanze kuwasiliana na wadau wote! Utanipatia mrejesho mamito!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wazo ni zuri, nimeafiki... Pendekezeni tu tarehe ila ziwe za wikiendi Mimi nitakua pa1 nanyi japo sasa hivi huku mambo ndo yameanza na nimepewa kombania.

Mkuu pole na majukumu!

Nakufata sasaivi pm kukupa no zangu then ntasubiri unitafute
 
Good! Ukiwa km mama Mwenye ushawishi mkubwa hapa Jf ukishirikiana na mshehereshaji cute b fungueni pm zenu muanze kuwasiliana na wadau wote! Utanipatia mrejesho mamito!

Halafu matani mengine si mazuri mm naushawishi gani?😀 , sasa nyie mnatutega loh!!! Ngoja niwasiliane na cute b
 
Last edited by a moderator:

Pamoja mkuu.

Kazi ndio imeanza nicheki huko pm Mkuu!

Alafu Manumbu create Kundi la wasapp ili wadau wote tunaopata no zao tunawaingiza ktk hiyo group moja kwa moja na inakua njia rahisi ya kupashana habari. Na pia wengine tutakua tunawasiliana nao kawaida.

Halafu matani mengine si mazuri mm naushawishi gani?😀 , sasa nyie mnatutega loh!!! Ngoja niwasiliane na cute b

Mamito mimi babito ndio najua nguvu yako ya ushawishi uliyonayo!

Anza na BAK na Eli79 na RRONDO na kitwala herrera haki kisha hawa wadau umewasiliana nao ili tuone wapenzi Wa soka tunakutana pamoja!

Cc Nzi Mbu Earthmover Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Pamoja mkuu.

Kazi ndio imeanza nicheki huko pm Mkuu!

Alafu Manumbu create Kundi la wasapp ili wadau wote tunaopata no zao tunawaingiza ktk hiyo group moja kwa moja na inakua njia rahisi ya kupashana habari. Na pia wengine tutakua tunawasiliana nao kawaida.

Mamito mimi babito ndio najua nguvu yako ya ushawishi uliyonayo!

Anza na BAK na Eli79 na RRONDO na kitwala herrera haki kisha hawa wadau umewasiliana nao ili tuone wapenzi Wa soka tunakutana pamoja!

Cc Nzi Mbu Earthmover Bulldog
Babito unanijua vizuri mimi siyo mzuri wa kulianzisha Bali kuliendeleza tafadhali nakabidhi jukumu hili kwa my cute b alifanyie kazi kisha mimi nitaliendeleza.
 
Last edited by a moderator:
Babito unanijua vizuri mimi siyo mzuri wa kulianzisha Bali kuliendeleza tafadhali nakabidhi jukumu hili kwa my cute b alifanyie kazi kisha mimi nitaliendeleza.

Yaani mamy usijali mimi ninavyopenda majukumu mbona kila mtu ataelewa alipo cute b na everlenk mbona kila mtu ataelewaa..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ntakucheki pm nikupe no zangu.
Viol Mentor Kituko hawa wadau ntawapata kirahisi Manumbu nahitaji no yako ya sim haraka
kunguru mjanja Grand PA Root [MENTION=na wadau wengine mnicheki pm[/QUOTE]

mkuu Manumbu heshima kwako kwa kuja na hii idea binafsi nimeielewa sana, ningependa sana tena sana nishiriki kwenye hii mambo coz futball is part of my life, but bahati mbaya sipo dar mkuu nipo dom and i will be here for almost 3 weeks then nageuka mbeya (home) kuna mambo naifanya ambayo kidogo ina ni keep busy, but kwa lolote mtakalolifanya guyz plz contact me nipo tayari kuchangia mawazo na hata kutoa chochote pale kitakapo hitajika.
Ntuzu, Manumbu Mentor Wacha1 everlenk Bulldog cute b RRONDO Nzi Root b5-click na wengneo wadau wa epl toeni ushirikiano kwa hili, CEO Ntuzu big up sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom