mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,910
- 18,558
Mungu Wa mbinguni tunakushukuru saaaaaaaaanaaaaaaaaaaa
Tena sana Amen!
Mungu Wa mbinguni tunakushukuru saaaaaaaaanaaaaaaaaaaa
umeielewa vizuri hiyo picha? Kwa kifupi hakuna timu yoyote ile ya EPL itakayo ifikia Chelsea kwa idadi ya point msimu huu utakapomalizika. Kwa maana hiyo tarehe 24/05/2015 EPL itakapomalizika itakuwa imechukkua siku 273 kumalizika msimu wa 2014/2015 ambapo chelsea imekuwa kileleni kwa siku 273.Who is telling the truth?
View attachment 248958
Wakuu wa Stamford Bridge!!
Nachukua fursa hii kuwapa Hongera kwa kufanikiwa kutwaa Ubingwa leo hii, Hongereni Sana!!Tulianza pamoja Mmemaliza Mabingwa, Mlistahili, Hongereni Sana Chelsea Football Club:yo:!!
FAIR PLAY.........
Tukutane tena kwenye mbio mpya Next Season
Wakuu wa Stamford Bridge!!
Nachukua fursa hii kuwapa Hongera kwa kufanikiwa kutwaa Ubingwa leo hii, Hongereni Sana!!Tulianza pamoja Mmemaliza Mabingwa, Mlistahili, Hongereni Sana Chelsea Football Club:yo:!!
FAIR PLAY.........
Tukutane tena kwenye mbio mpya Next Season
Hongereni Chelsea
Hongereni Chelsea
umeielewa vizuri hiyo picha? Kwa kifupi hakuna timu yoyote ile ya EPL itakayo ifikia Chelsea kwa idadi ya point msimu huu utakapomalizika. Kwa maana hiyo tarehe 24/05/2015 EPL itakapomalizika itakuwa imechukkua siku 273 kumalizika msimu wa 2014/2015 ambapo chelsea imekuwa kileleni kwa siku 273.
![]()
Leo ni siku ya msiba kwa wapenzi wa mpira wa miguu. Timu ambayo imegeuza mpira wa miguu kuwa rugby na mieleka na pia ku-pack basi kuwa ndio mbinu ya ushindi ndio imenunua ubingwa kwa bahasha.
Leo ni siku ya msiba kwa wapenzi wa mpira wa miguu. Timu ambayo imegeuza mpira wa miguu kuwa rugby na mieleka na pia ku-pack basi kuwa ndio mbinu ya ushindi ndio imenunua ubingwa kwa bahasha.
Kwa wale wanaopenda timu inayocheza rugby na mieleka kwenye ligi ya mpira wa miguu nimpeni hongera kwa kufanikiwa kuharibu utamu wa mpira wa miguu.
Tufurahi pamoja na kuipongeza timu ya mieleka kwa kuhadaa wapenzi wa mpira kuwa wanacheza mpira wa miguu.
Sasa tusubiri mdomo wa Mou kuwa kama mdomo wa bata.
Usikwazike Ntunzu na Mentor. Hongera kwa kuchukua ndoo "kivyovyote".
Lini nikuletee na zile mbili za Segerea ili iwe Quadruple?
Nasubiri hapa wapenzi wa wacheza rugby watakavyonisulubu. LOL.
Asante mkuu
Kuna mtu hapa msimu wote alikuwa Man U lkn leo sababu Chelsea kawa bingwa namuona hapa anashangilia ubingwa
Daaah hii mbaya sana kubadili team sababu ya mafanikio
Palace clearly felt Hazard made the most of slight contact - which he certainly did - bbcHahaha Leo ni sherehe Mkuu sijali waboaji wanasema nini.....
Asante sn kwa hongera zake Mkuu ndio maana nilikuita sasa subiri uje usulubuwe lol.
Wanaogopa kumtaja. Baada ya siku tatu kama hatatamtaja nitamsaidia.Mtaje kaka yangu......
Palace clearly felt Hazard made the most of slight contact - which he certainly did - bbc
Ntuzu nimejihakikishia kuwa kweli mmenunua ushindi.
Hazards amedive tena leo. Nimeangalia replay mara 273 na nakupa assignment angalia hiyo replay na rudi utoe ushuhuda.
Mwamuzi amejishindia jackpot kwa kuibeba "boring boring Chelsea".
'Palace fans in no doubt about the pen. Dive in a minute they sing when Hazard gets the ball.'
Read more: Chelsea 1-0 Crystal Palace: Premier League final score sees Blues crowned champions following Eden Hazard strike | Daily Mail Online
John Terry fortunate not to concede spot-kick following handball
Angalia highlights hapa: link VIDEO Chelsea 1 0 Crystal Palace Highlights - FootyRoom
Asante mkuu tuonane msimu ujao! Mechi zilizobaki ni kama pre-season practice!
Mtaje kaka yangu......
Mkuu wewe yaache haya kaka,huyu jamaa alikuwa Man U leo hii yupo Chelsea daaahWanaogopa kumtaja. Baada ya siku tatu kama hatatamtaja nitamsaidia.
mbingunikwetu
wewe ni mgeni hapa?Maana wakati Chelsea miaka yote inasua sua enzi za kocha Grant na Mateo sikuwahi kukuona,hata wakati wa mwanzo wa msimu huu kama kipigo cha Tottenham sikuwahi kukuona
Ni wa zamani ulio badili jina?Maana nimeanza kukuona baada ya ubingwa!
Wapi nguli agosti 8?