Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo ni siku ya msiba kwa wapenzi wa mpira wa miguu. Timu ambayo imegeuza mpira wa miguu kuwa rugby na mieleka na pia ku-pack basi kuwa ndio mbinu ya ushindi ndio imenunua ubingwa kwa bahasha.

Kwa wale wanaopenda timu inayocheza rugby na mieleka kwenye ligi ya mpira wa miguu nimpeni hongera kwa kufanikiwa kuharibu utamu wa mpira wa miguu.

Tufurahi pamoja na kuipongeza timu ya mieleka kwa kuhadaa wapenzi wa mpira kuwa wanacheza mpira wa miguu.

Sasa tusubiri mdomo wa Mou kuwa kama mdomo wa bata.

Usikwazike Ntunzu na Mentor. Hongera kwa kuchukua ndoo "kivyovyote".

Lini nikuletee na zile mbili za Segerea ili iwe Quadruple?

Nasubiri hapa wapenzi wa wacheza rugby watakavyonisulubu. LOL.

Pole! Angalau umekuwa mbunifu wa kushughulikia maumivu yako yaliyotokana na kushindwa kwa timu yako kukupa furaha! Maneno yako ni symptoms ya frustration! na wivu ambao huna jinsi ya kuuficha! Hongereni wazee wa possession! (possession of failure!)
 
Bitter losers inawahusu
hmOueSgtrekYCcodeE2153yJxNN7P9dNIRiCxf_9NGbM1RjHQfm8Uayu_KKe9TtPpGbeylv6T-V2sEgsk5qI14QdeMvrLf-FxRWHOXMlQUc1bU6GRSDwrYW8vNU_NYFnN_UkBOKCQnEEP34X7_Kg=w443-h332-nc
 
cesc-fabregas-yannick-bolasie-chelsea-crystal-palace_3298711.jpg

A masked Cesc Fabregas shields the ball from Yannick Bolasie in the early stages

willian-joe-ledley-premier-league-chelsea-crystal-palace_3298706.jpg

Willian battles with Joe Ledley and Jason Puncheon in midfield
 
eden-hazard-celebrates-chelsea-premier-league-stamford-bridge-crystal-palace_3298731.jpg

Hazard misses a first-half penalty but wheels away in celebration after successfully converting the follow-up

eden-hazard-chelsea-premier-league-crystal-palace-stamford-bridge_3298728.jpg

Hazard punches the air as the relief and delight pours out
 
john-terry-chelsea-stamford-bridge-premier-league_3298797.jpg

The final whistle blows and John Terry leaps with joy after claiming another Premier League crown

chelsea-celebrate-premier-league-crystal-palace-title-win_3298784.jpg

The Blues seal title glory with three games to spare
 
Leo ni siku ya msiba kwa wapenzi wa mpira wa miguu. Timu ambayo imegeuza mpira wa miguu kuwa rugby na mieleka na pia ku-pack basi kuwa ndio mbinu ya ushindi ndio imenunua ubingwa kwa bahasha.

Kwa wale wanaopenda timu inayocheza rugby na mieleka kwenye ligi ya mpira wa miguu nimpeni hongera kwa kufanikiwa kuharibu utamu wa mpira wa miguu.

Tufurahi pamoja na kuipongeza timu ya mieleka kwa kuhadaa wapenzi wa mpira kuwa wanacheza mpira wa miguu.

Sasa tusubiri mdomo wa Mou kuwa kama mdomo wa bata.

Usikwazike Ntunzu na Mentor. Hongera kwa kuchukua ndoo "kivyovyote".

Lini nikuletee na zile mbili za Segerea ili iwe Quadruple?

Nasubiri hapa wapenzi wa wacheza rugby watakavyonisulubu. LOL.

watu wenye roho za kuzimu utawajua tu kwa matendo yao na kauli zao siku zote hawapendi kuona mtu mwingine anafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom