HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,994
- 102,833
ivi kombe tutaakabidhiwa lini
Mechi ya mwisho na Sunderland
ivi kombe tutaakabidhiwa lini
Hongereni sana mabingwa wetu haikuwa kazi rahisi mmepigana mpaka dakika ya mwisho . big up kwake Mourinho.
Ntuzu kunguru mjanja b5-click Manumbu MEANDU Viol kalou Bantu lady #Theblues fans wote....... Mentor nasubiri ahadi nije wapi nikupongeze...lol, hope sasa utatulia no haters tena hapa.......
Mungu Wa mbinguni tunakushukuru saaaaaaaaanaaaaaaaaaaa
Duhhh!!!!!!!! Leo kazi ipo loh!!! Nitakuja kwenye sherehe yenu nimeskia kibongo bongo mnajipongeza nipeni venue tu, nitakuwa mgeni rasmi kwa mwaliko wa Ntuzu ....Lol
Everlenk how are youuuuuuuuuuuuuu
Am good yoooooooo!!!!..........Hongera sana mkuu