Khe khe khe khe ... ... Jana ilkuwa fujo hapa kama vile nongwa na Teachers tulikaribishwa lakini leo haaa mmekuwa Invisible msikonde pamoja na pensioneers wenu sisi tupo kama kawa. Si unakumbuka mlitaka mkabidhiwe kombe November?Huwa mnaonekana wapinzani wenu wakifungwa na ukelele mwingi lakini leo si umejionea mwenyewe tena nikawakaribisha maana nilikuwa naiamini timu yangu, hatuchezi soka la kubahatisha soka linalofundishwa. Vile unaona leo kama kuku alinyeshewa na mvua. Wape salam Chelsick aka mafioso wote kwa mpigo waambie watengeneze kiwanja sio wanja kama tulilocheza leo.
http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/teams/a/arsenal/8464612.stm
Blow for Ghana. Crocked Essien.
Confirmed out for a month by his country doc. Abra ham o vich kapeleka ndenge kumrudisha London ASAP.
Yule alikuwa hajapona sawasawa, lakini asingekwenda kule ghana wangemlaumu kocha wa chelsea eti kamzuia.
Uwe unasoma basi na sababu za kuumia. Hii ni injury tofauti na ile aliyokuwa nayo. Halafu nasikia kuna vijana wamefanya fujo sana kule Emirates na mojawapo aliyehusika ni mchezaji wenu wa zamani.
Arsenal hawatishii nyau, wako juu sana kwenye game kwa sasa, no one can denie that truthAsernal wanatishia nyau kushika nafasi za watu kwa masaa.
We wacha1 najua yote... nilitaka tu u-comment maana yake ulipotea baada ya kuwanyuka madogo 7-2. haya liverpool wanataka kupona kifafa na Asernal wanatishia nyau kushika nafasi za watu kwa masaa.
Sasa huyo jamaa juu si unamuona kaingia leo Darajani akitoka huku nyumbani na magongo, tupe news basi maana nasikia uko karibu sana na Abra m o vich na kitengo kizima cha kuhudumia wachezaji wa The Mafioso. Ati ndio wamrudishe London ASAP wakati katua jana Chelsick kwa mbwembwe!
Halafu tena nikukumbushe vipi Birmingham darajani mtatoka?
He had a tear in the meniscus, atakuwa nje kwa wiki sita hivi. hakuna shida midfield yetu imesheheni vipaji tupu -
Birmignham vinganganizi - mbili zitawatosha -
Leo ni FA CUP sio EPLSasa leo mnaweza kwenda nafasi ya tatu khe khe khe vipi mnahitaji kwenda kwa mnajimu yahaya?