Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


ELNINO,

nasikia jamaa atakua na mabodyguard kibao ndani ya Angola na South
Africa. Chelsea wanagaramia maana hawataki ma-terroristi watuharibie
mambo kabla hajarudi. Unajua tena Man U inamashabiki wengi Africa
ambao wanamaindi vile msimu huu mambo magumu. Subiri watakuja humu na
vijineno..ushamuona mtani wangu Abdulhalim keshaleta kero hapo juu!

Sisi taifa kubwa bana...Ze Bluzz for life
 
Wapo hapa chini vipi unataka kujikumbusha?







Khe khe khe khe.

Better compared to those who lost 1-0 at home to LEEDS......With what eti they call First eleven yao ---
 
Snow imeleta noma, mechi yetu ya kesho na Hull imekuwa postponed.
 
Snow imeleta noma, mechi yetu ya kesho na Hull imekuwa postponed.

Imetuharibia maana tungekuwa tayari tumepunguza game moja, ila nimefurahia matokeo ya wapinzani wetu kwa kudroo na kama tukishinda tuta ongeza gap.
 
Snow imeleta noma, mechi yetu ya kesho na Hull imekuwa postponed.

Imetuharibia maana tungekuwa tayari tumepunguza game moja, ila nimefurahia matokeo ya wapinzani wetu kwa kudroo na kama tukishinda tuta ongeza gap.

Kinyume chake hii imekusaidieni maana kwa weather kama hii kuna uwezekano mkubwa Hull wangelikufungeni, lakini sasa mumepata unafuu kidogo.
 
Chelsea Fun's, nani ana habari kuhusu "Tanzania Chelsea fun's club? nimeona kwenye gazeti jana jamaa mmoja (wa kiasia) Alikuwa amemwalika Drogba kwenye hiyo club na akampa Jezi kama utambulisho.

Nani humo JF kuna ni member wa hiyo fan's club? ipo registered au ya mitaani tu?
 




Huyu jamaa bado anausongo na Chelsick licha ya kushinda jana.
 
JT - BORN A LEADER ( CAPTAIN OF ENGLAND / CHELSEAFC)

"It is one of those things where you are born like it or not, and thankfully I was blessed with that,'' he said. ''When I was younger and we played a reserve game and Franco [Zola] gave away the ball, I shouted at him. Some of the younger players were saying, 'You can't do that'. I said, 'Why not?' Luca [Vialli] came up to me after the game and said, 'That was fantastic, no one had the guts to say that and you did'."
 




Huyu jamaa bado anausongo na Chelsick licha ya kushinda jana.

Hatumtaki, alishidwa kutupatia entertaining football badala yake yeye alikuwa na policy ya ushindi lazima upatikane kwa vyovyote. Siku hizi unatakiwa kushinda huku ukiwafurahisha mashabiki wako kwa kandanda safi. (Attacking and intertaning football)

Msimu wa kwanza wa huyu jamaa tulichukua ubingwa ila tukapewa jina "Boaring Chelsea"

Sasa hivi tunakaribia kiwango cha Barca kwa kandanda safi - Nani Anabisha?
 
Chelsick wote wamekimbia. Wacha (eni) tabia mbaya njooni kwenye jukwaa lenu mbona tuliwaona kwenye jukwaa la Loserfools?
 
Hamuiamini timu ya mafioso? Naona mmekuwa Invisible. 
 
Chelsick 2 - 0 Sunderland
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…