Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu b5-click Ntuzu Eli79 na mheshimiwa Invisible,
Naomba mbadilishe bet yenu kwani;

- b5-click na Ntuzu na Eli79 tutakosa michango yenu kwa michezo iliyobaki. Jukwaa hili si kwa ajili ya mechi ya Arsenal vs Chelsea peke yake. tuna mchezo na liverpool baada ya hapo na kushangilia ushindi wa kombe. Jambo hilo halitafana bila uwepo wenu!

- kwako mheshimiwa sana Invisible, kufana kwa jukwaa hili kunamtegemea kila member mmoja mmoja. Kumpiga ban member yeyote kunapunguza lengo letu hilo.

Baada ya kusema hayo ningependelea kutoa solution ambayo itawanufaisha wote: Kila mmoja kwa makubaliano yenu wenyewe atume pesa kwa invisble ambapo kwa ambaye timu yake itashinda basi ile pesa ya mwenzake iwekwe kama mchango wa membership (bronze, gold, ...) na pesa yake (yule aliyeshinda) atarudishiwa.

Hivyo basi, kwa mfano, kama b5-click na Eli79 kila mmoja akituma 30,000/- basi mwisho wa siku timu itakayoshinda mmojawapo atarejeshewa pesa yake na hiyo ya aliyeshindwa itaenda kama membership ya mwenzake.

Hapo vipi?

Kama mkuu Invisible akikubali mimi nitaomba kubet na BAK tafadhali.
Ntuzu tafuta wa kwako...

Safi kabisaaaa... Mkuu Eli79 Mimi nipo tayari.. Stake ni 30,000 Twende kazi...
Kama upo tayari tumuite mkuu Invisible

Hivi wa Man u hawapo pia!??
 
Last edited by a moderator:
Wakuu b5-click Ntuzu Eli79 na mheshimiwa Invisible,
Naomba mbadilishe bet yenu kwani;

- b5-click na Ntuzu na Eli79 tutakosa michango yenu kwa michezo iliyobaki. Jukwaa hili si kwa ajili ya mechi ya Arsenal vs Chelsea peke yake. tuna mchezo na liverpool baada ya hapo na kushangilia ushindi wa kombe. Jambo hilo halitafana bila uwepo wenu!

- kwako mheshimiwa sana Invisible, kufana kwa jukwaa hili kunamtegemea kila member mmoja mmoja. Kumpiga ban member yeyote kunapunguza lengo letu hilo.

Baada ya kusema hayo ningependelea kutoa solution ambayo itawanufaisha wote: Kila mmoja kwa makubaliano yenu wenyewe atume pesa kwa invisble ambapo kwa ambaye timu yake itashinda basi ile pesa ya mwenzake iwekwe kama mchango wa membership (bronze, gold, ...) na pesa yake (yule aliyeshinda) atarudishiwa.

Hivyo basi, kwa mfano, kama b5-click na Eli79 kila mmoja akituma 30,000/- basi mwisho wa siku timu itakayoshinda mmojawapo atarejeshewa pesa yake na hiyo ya aliyeshindwa itaenda kama membership ya mwenzake.

Hapo vipi?

Kama mkuu Invisible akikubali mimi nitaomba kubet na BAK tafadhali.
Ntuzu tafuta wa kwako...

Ok. Mentor nimekuelewa vzr sn Mkuu na kuanzia sasaivi natengua Ban yangu na pia ningeomba Mkuu Invisible tuwasiliane ili niitume hiyo 30000 kwako mapema km mdau alivyoshauri kwa afya ya majukwaa yetu ya michezo!

Nkwela umeniwahi bwana huyu BAK ata Mimi nilikua namtaka sn na Eli79 tayari yuko na mdau hapo... Sasa Mimi namchagua Yule mzee Wa khe khe kheeeeeeeee a.k.a Wacha1 ndio tubet nae!

Cc: Invisible
 
Last edited by a moderator:
Eli79 njoo twende kwa Invisible kwa pa1... stake yako mkononi Tafadhali

Afu kumbuka Ban haijatenguliwa kwetu,, tukisha deposit kwa invisible ndo Ban zinafutwa inabaki bet

Mkuu nipo na nathibitisha kulubali bet ya 30,000 kwa Invisible, ikiwa timu yangu itafungwa basi hiyo pesa apewe b5-click kama mchango wake kwa jf membership na ikiwa nitashinda hiyo game, basi mkuu Invisible anitendee haki yangu...

Nawasilisha...!
 
Last edited by a moderator:
Kwa man utd nimemuwahi everlenk
na liverpool Malafyale.

C: Ntuzu na Mourinho...kwa taarifa

Hahahahaaaaa

Nkwela Mentor bhana we niachie everlenk wangu bhana wewe uende na Nzi.......lol.

Kwa LFC niachie Mr. Wise maana huyo Malafyale ataomba aende bar bure!

BTW, nimepata taarifa kutoka kwa rafiki Yake na everlenk.....huyu everlenk anaumwa sn...ingawa taarifa yenyewe sijaipata vzr km kalazwa wapi au vipi! Ila nimeambiwa tu anaumwa sn...

Kwakua huyu Dada amekua ni mdau mwenzetu ktk michezo nimeona ni vema niseme hili ili tumuombee kwa Mungu aweze kupona haraka na kurudi ktk majukwaa yetu haya!

Asanteni.

Cc: Nzi BAK RRONDO Malafyale
 
Pole Sana everlenk aka love! Upone haraka na kurudi jukwaani...!
 
basi mimi nakuachia everlenk, wapi Nzi!????

Dada everlenk, Mungu akuponye haraka na kukupa afya! amen
 
Bibie everlenk poleeee,, Mungu atakuponya na kukupa afya njema na imara.

Pole sana everlenk, JF's best sportswoman of all time........upone haraka urudi or else Man City wanaweza kusababisha daktari akupe dozi mpya

Asanteni sana ndugu zangu kwa maombi yenu, hakika yamenisaidia hata nimeweza kuinuka na kuwasalimu hapa, Mungu awabariki sana
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa

Nkwela Mentor bhana we niachie everlenk wangu bhana wewe uende na Nzi.......lol.

Kwa LFC niachie Mr. Wise maana huyo Malafyale ataomba aende bar bure!

BTW, nimepata taarifa kutoka kwa rafiki Yake na everlenk.....huyu everlenk anaumwa sn...ingawa taarifa yenyewe sijaipata vzr km kalazwa wapi au vipi! Ila nimeambiwa tu anaumwa sn...

Kwakua huyu Dada amekua ni mdau mwenzetu ktk michezo nimeona ni vema niseme hili ili tumuombee kwa Mungu aweze kupona haraka na kurudi ktk majukwaa yetu haya!

Asanteni.

Cc: Nzi BAK RRONDO Malafyale

Ha ha ha ha ha Mkuu, umeweka mikwara, Kweli furaha ya ndoo umeshaianza mapema!!!Dah Furahi tu bana hatuna jinsi
 
Hahahahaaaaa

Nkwela Mentor bhana we niachie everlenk wangu bhana wewe uende na Nzi.......lol.

Kwa LFC niachie Mr. Wise maana huyo Malafyale ataomba aende bar bure!

BTW, nimepata taarifa kutoka kwa rafiki Yake na everlenk.....huyu everlenk anaumwa sn...ingawa taarifa yenyewe sijaipata vzr km kalazwa wapi au vipi! Ila nimeambiwa tu anaumwa sn...

Kwakua huyu Dada amekua ni mdau mwenzetu ktk michezo nimeona ni vema niseme hili ili tumuombee kwa Mungu aweze kupona haraka na kurudi ktk majukwaa yetu haya!

Asanteni.

Cc: Nzi BAK RRONDO Malafyale

basi mimi nakuachia everlenk, wapi Nzi!????

Dada everlenk, Mungu akuponye haraka na kukupa afya! amen

Haya nipo tayari kwa bet nipeni mchakato.....
Ntuzu halafu ungeniachia huyu shemeji yangu Mentor tupambane vizuri maana wewe naweza kukusamehe bure.... Lol
 
Last edited by a moderator:
everlenk ni zaidi ya mdau kwangu,huyu ni dada yangu na ni mwana dada ambaye haogopi kusema kile anacho amini kuwa ni kweli

Kama kuna mtu anajua namba yake pls aniandikie chemba!!Pole sana dada
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom