Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Makubaliano haya yamedhaminiwa na mashabiki wa Chelsea fc, Mungu ibariki chelsea, pole Eli79

Mkuu SIM, nina uhakika na timu yangu. Mourinho ana record nzuri sana vs Wenger lakini huu sio mwaka wa kuangalia personal records....karibu emirates ushuhudie mnavyoweka semi trailer golini...manake basi halitatosha!!!
 
Last edited by a moderator:
Eli79 uzuri Invisible ameshapita na ameyaona makubaliano yetu! Tusubiri hiyo siku adhabu ishushwe
Ntuzu hujauza ng'ombe huko usukumani? Leta ngawira bana, BAN za nini na wadau wanataka kupata mawazo yako siku hiyo baada ya Sanchez and others kuwapa kibano pale Emirates.
Mkuu BAK na wewe njoo ubet hapa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ata Mimi naomba Ban kubwa mpk msimu huu uishe iwapo Chelsea atafungwa na Arsenal hiyo tarehe 26..

Tena sitanii kabisa Invisible ktk hili. Nipigwe ban mpk mei tarehe 20. Naomba kabisa tafadhali

Hawa Gunners wanataka kutuchezea!
Ntuzu na mwenzako elie Invisible kasha-like hii post yako. Mnakumbuka ya Salamander na mwenzie Roots?
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu hujauza ng'ombe huko usukumani? Leta ngawira bana, BAN za nini na wadau wanataka kupata mawazo yako siku hiyo baada ya Sanchez and others kuwapa kibano pale Emirates.
Mkuu BAK na wewe njoo ubet hapa

Hahahaa BAK yuko tight Mkuu!

Ng'ombe wapo wengi tu Mkuu dau liwekewe tu niuze ng'ombe niweke mpunga.

"Nalemaga gete kogadejwa no Arsenal"

Nimekataa kabisa kufungwa na Arsenal.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu na mwenzako elie Invisible kasha-like hii post yako. Mnakumbuka ya Salamander na mwenzie Roots?

Kwenye football hivi vitu vipo kaka, siku ile niliusoma mchezo kisaikolojia ya timu zote mbili, nikaona wakatalani lazima waondoke. Kama nilivyotegemea, Los blancos walitawala mchezo, lakini kulikuwa kuna vijimambo tu ndio vilibadilisha matokeo. Lakini ndio soccer ndani ya JF, ukiamini chama lako omba ban.

Hata hivyo Chelsea huu mwaka wao!
 
Mkuu ilikuwaje??
 
b5-click ukuye ukuye pande hii
Mourinho kamanda b5-click nimekuja..

Mkuu Eli79 kama upo tayari kwa bet hiyo Mimi nipo tayari pia... Tuweke makubaliano machache, na pesa tumpe Mtu ili siku ya siku nijichukulie ushindi wangu..

Ban pia ihusike.. Mkataba ushasainiwa... HAUVUNJIKIIII

sisi ndio CHELSEA.. wazee wa darajani.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu b5-click Ntuzu Eli79 na mheshimiwa Invisible,
Naomba mbadilishe bet yenu kwani;

- b5-click na Ntuzu na Eli79 tutakosa michango yenu kwa michezo iliyobaki. Jukwaa hili si kwa ajili ya mechi ya Arsenal vs Chelsea peke yake. tuna mchezo na liverpool baada ya hapo na kushangilia ushindi wa kombe. Jambo hilo halitafana bila uwepo wenu!

- kwako mheshimiwa sana Invisible, kufana kwa jukwaa hili kunamtegemea kila member mmoja mmoja. Kumpiga ban member yeyote kunapunguza lengo letu hilo.

Baada ya kusema hayo ningependelea kutoa solution ambayo itawanufaisha wote: Kila mmoja kwa makubaliano yenu wenyewe atume pesa kwa invisble ambapo kwa ambaye timu yake itashinda basi ile pesa ya mwenzake iwekwe kama mchango wa membership (bronze, gold, ...) na pesa yake (yule aliyeshinda) atarudishiwa.

Hivyo basi, kwa mfano, kama b5-click na Eli79 kila mmoja akituma 30,000/- basi mwisho wa siku timu itakayoshinda mmojawapo atarejeshewa pesa yake na hiyo ya aliyeshindwa itaenda kama membership ya mwenzake.

Hapo vipi?

Kama mkuu Invisible akikubali mimi nitaomba kubet na BAK tafadhali.
Ntuzu tafuta wa kwako...
 
b5-click msome Mentor na ushauri wake hapo! Ana point nzuri tu.
 
Last edited by a moderator:
Nayeye na mwenzie Root wslikula kiapo kama barca wataifunga Madrid wspewe ban ya wiki. Kama kawa Invisible aka-like. Game imeisha Madrid kamala. Wakalimwa ban ya will 1 @ 1

Hahahaaaaa....mimi nipo tayari mkuu. Lakini kuna mtu kashauri vinginevyo. Kama ban naiwe ban tu kwani vipi bwana!
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu na mwenzako elie Invisible kasha-like hii post yako. Mnakumbuka ya Salamander na mwenzie Roots?

Hahahahahah... Kaka zangu Mjusi na Mzizi walijitakia wenyewe.. Unaombaje Ban wakati unajua fika unacheza na timu ambayo ina kiumbe wa ajabu MESSI... Alafu timu yako siyo CHELSEA na wala haina mabeki wa Kariba ya John Terry "JT, THE CAPTAIN" na Gary Cahil wa kumdhibiti MESSI...

hahahahahah... Nakumbuka niliomba Ban ila nika save...
 
Last edited by a moderator:
Wakuu b5-click Ntuzu Eli79 na mheshimiwa Invisible,
Naomba mbadilishe bet yenu kwani;

- b5-click na Ntuzu na Eli79 tutakosa michango yenu kwa michezo iliyobaki. Jukwaa hili si kwa ajili ya mechi ya Arsenal vs Chelsea peke yake. tuna mchezo na liverpool baada ya hapo na kushangilia ushindi wa kombe. Jambo hilo halitafana bila uwepo wenu!

- kwako mheshimiwa sana Invisible, kufana kwa jukwaa hili kunamtegemea kila member mmoja mmoja. Kumpiga ban member yeyote kunapunguza lengo letu hilo.

Baada ya kusema hayo ningependelea kutoa solution ambayo itawanufaisha wote: Kila mmoja kwa makubaliano yenu wenyewe atume pesa kwa invisble ambapo kwa ambaye timu yake itashinda basi ile pesa ya mwenzake iwekwe kama mchango wa membership (bronze, gold, ...) na pesa yake (yule aliyeshinda) atarudishiwa.

Hivyo basi, kwa mfano, kama b5-click na Eli79 kila mmoja akituma 30,000/- basi mwisho wa siku timu itakayoshinda mmojawapo atarejeshewa pesa yake na hiyo ya aliyeshindwa itaenda kama membership ya mwenzake.

Hapo vipi?

Kama mkuu Invisible akikubali mimi nitaomba kubet na BAK tafadhali.
Ntuzu tafuta wa kwako...
Mentor mbona umeni-ignore kwenye hii comment though mimi ndio nimeanza kuwaomba hawa mabwana wasikimbie jukwaa kwa kujificha nyuma ya BAN baada ya mkong'oto, acha hizo bana😜

Nakusapoti hilo pendekezo umetoa hapo, haya sasa wakulungwa mjinasishe wenyewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom