Schuller alishauzwa kwa Wolfsburg ya Germany.Mourinho kama kawaida yake haonagi mbali, ni kocha wa kudonoadonoa na kubahatisha. Dogo Schuller ni mbaya ila Mourinho hakuwa anampa nafasi sababu sio defensive minded mpira anaochezesha Mourinho
Aaaaah Mourinho can you ni jinsi nilivo na furaha kwa chelsea kutoka?
Game ya jama acha kabisa bhanaa, Chelsea walivyo wajinga hata mashambulizi hawakuwa wakifanya.
ni kweli lakini si kwa mwaka mmoja kama inavotaka kutokea kwa england.. atleast itokee mara 3 mfululizo au mara tim kutofika mbali kama italy ilivotokea kunyang'anywa nafasi yake na ujerumani
Ni kweli, kama timu zote za Uingereza zitatolewa nafasi yake ya kuingiza timu nne CL na nafasi hiyo itachukuliwa na Ufaransa. Nchi tatu tu ndo uingiza club nne CL na mara nyingi nchi za Uingereza, Hispania na Italy ndo waliokuwa na hiyo chance kwa sababu timu zake kufanya vizuri kila msimu. Lakini kuanzia 2011 nafasi ya Italy ilichukuliwa na Ujerumani baada ya timu zake kuanza kuboronga kwenye michuano hii. Kwahyo timu Asernal na Man U kaeni chonjo maana mtaanza kugombania big 3 na sio big 4 tena😛
Mourinho siku hizi ni mfanyabiashara mzuri kuliko hata Wenger,Schurle hakupaswa kuuzwa alikuwa mfungaji mzuri hasa akitokea sub,hakukuwa na sababu ya kumuingiza Drogba mwenye miaka karibia 40 kwenye game ngumu kama ile.Hana ile kasi na nguvu za miaka ya nyuma
Toka mid January.. Maana lile dhidi ya Tottenham sio lake ni OGHapana mkuu
Diego Costa inabidi sasa awe benched maana hizi ndiyo mechi anazo stahili abebe team lkn yy huwa anapotea
Hajafunga mechi ya ngapi sasa?
Abramovich haujui mpira yule.. Anafurahi kuona timu inashinda na kupiga vipasi tu lakini mambo ya ufundi hana anachojuaHata mie nikipewa karatasi ya kupiga kura nitaandika mara mia tisa aondoke huyu jamaa maana mbinu zake ni za kipuuzi sana. Uzuri boss alikuwepo kaona kilichotokea. Kaumia so mwisho wa msimu tutajua kitachotokea. Mou maneno mengi hakuna vitendo kabisa
Kama hiyo ni timu yako, subiri wafaulu mtihani wa Monaco.Umesahau the Gunners. Anajua hauamini...!!
Hapa mimi nataka kumzungumzia Costa peke yake, Kabla ya mpira jana Laurent Blanc alinukuliwa na vyombo vya habri akisema kua amewambia wachezaji wake kua wawe makini na Costa na wasimunigie mwilini au kumgusa hovyo kwamba wakifanya hvyo wanaweza pata matatizo, lkn kwa jana km uliangalia mpira hii kauli ya LB inaweza kua kweli? Jana PSG hasa mabeki na kina Motta walikua wakimfanyia Costa vituko na michezo mibaya makusudi mpk anatoka Ibra, Huyu Costa alikua ameshapigwa viwiko mara mbili bila mwamuzi kuamua chochote. alafu bado hawa PSG walikua wakiendelea kumchezea hovyo tu yote hii ni kumfanya Costa asicheze mpra na haya ni maagizo kutoka kwa LB na unatakiwa ufahamu kwamba ukimtoa basi adui yako anakua kafaulu mpango wake. Mpira jan ulikua ni mbovu tu kowa timu zote.
Schuller alishauzwa kwa Wolfsburg ya Germany.Mourinho kama kawaida yake haonagi mbali, ni kocha wa kudonoadonoa na kubahatisha. Dogo Schuller ni mbaya ila Mourinho hakuwa anampa nafasi sababu sio defensive minded mpira anaochezesha Mourinho