Point ni kwamba mourinho being home,kuwa na advantage ya away goa at first leg plus psg kuwa na nyekundu kwa kocha mwenye akili chelsea walipaswa wadominate game muda mwingi na wasiwaruhusu psg kukaa na mpira kwa yoyote mwenye akili angetumia mbinu hyo,badala yake eti mnaemuita special 1 anafanya sub kumuingza zouma how do u explain that?
No excuse kwa kupoteza mchezo wa jana
I think blame yote mimi ningewatupia wachezaji. Mou did his best kupanga kikosi best kushambulia na kukaba.
Wachezaji walichezea sana mipira kuhangaika kupiga chenga kama Arsenal huku hawamjaribu kipa.
Zouma aliingia kucheza namba sita ya Matic kwani alihofia kuwa atapata kadi plus fatigue. And Zouma did a fairly good job.
Heads up Chelsea...lets now go for the EPL...UCL next season!!!
I think blame yote mimi ningewatupia wachezaji. Mou did his best kupanga kikosi best kushambulia na kukaba.
Wachezaji walichezea sana mipira kuhangaika kupiga chenga kama Arsenal huku hawamjaribu kipa.
Zouma aliingia kucheza namba sita ya Matic kwani alihofia kuwa atapata kadi plus fatigue. And Zouma did a fairly good job.
Heads up Chelsea...lets now go for the EPL...UCL next season!!!
Keep calm and trust mourinho!!!! Tatizo watu wanasahau kuwa cl sio kitu rahisi kihivyo mpaka uchukue inabidi uwe na very matured team, sasa ikumbukwe kuwa hii ni newgen chelsea na haina hata makombe ndo kwanza tumeanza na capito and tusisahau alipotutoa mou, ligi hatujashinda since 2010 but now we are on course to win it hiyo inaonesha namna team inavyodevelop sasa plastic fans mnakuja hapa na kuanza kumtukana mou wakati we were very poor and unstable kabla hajaja.... Cha msingi kuweni wavumilivu msimu huu ligi msimu ujao uefa hiyo ndio trend sio ghafla tu mnataka mbebe kila kitu, psg ni kikosi kilichokomaa kwani wachezaji wake wako pamoja for a long tym xcept luiz
Bado kunyolewa EPL.wanyolewe mara ngapi kaka?
Ninyi pia mmetolewa kwa bahati.haters mtachonga sana. game hii psg wameshinda kwa bahati. mara 2 zote tulizowafunga wamechomoa "jioni".
Hilo halitatokea. Matokeo ya Mechi ya jana na ile timu ya walalahoi ,tena wakiwa pungufu yasikudanganye.Bayern atachukua kombe.
sasa we unaona nani yupo vizuri?maana hata real madrid hawajatuliaHilo halitatokea. Matokeo ya Mechi ya jana na ile timu ya walalahoi ,tena wakiwa pungufu yasikudanganye.
Unajua kuwa kuna mchezaji wa timu ya walala hoi alipewa red ?
PSG, Porto, Monaco, Barca.sasa we unaona nani yupo vizuri?maana hata real madrid hawajatulia
duuh monaco?PSG, Porto, Monaco, Barca.
Arsenal pia walifurahi walipojua wanacheza na Monaco.duuh monaco?
timu yoyote itakayokutana na monaco itakuwa na bahati
Anafanya mazoezi ya kuwa bondia na kick-boxer baada ya kustaafu mpira wa miguu.Huyu Diego Costa kwani imekuwaje?
Ligi kuu inaweza kuwamaliza kwa hasira au kumalizikia kwa hasira pia.Chelsea hasira tutamalizia ligi kuu