Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
Chelsea First team: 1st
Chelsea U21 team: 1st
Chelsea U18 team: 1st
Chelsea Ladies team: 1st
DOMINATION.
Chelsea U21 team: 1st
Chelsea U18 team: 1st
Chelsea Ladies team: 1st
DOMINATION.
Huwezi kumiss kitu. Na vitu kama hivi vinapatikana Chelsea tu.
"The French Federation should write a letter thanking me. Now they have the two best young defenders in the world."
Guess who said that!!!
Ntuzu, kalou mpo?
Na huko madrid hali ni tete![]()
![]()
![]()
timu ya 2005 mashabiki wake hawajoelewi ndio maana wenger alishawahi kujisemea
when u give a success to stupid peoples you made them more stupid ulichomiss sasa
chagua kati ya hivi
ulihama timu uliokua ukishabikia mwanzo
umekulia kijijini ambapo hakuna access tv
wewe ni mtoto
huna msimamo
kama unabisha karibu kwa swali ndio maana page yenu inajaa ujinga ili muikute ya arsenal mwambien kwanza bosi wenu muikute arsenal kwa makombe
U'r wrong boy, watu tushaanza kuishabikia chelsea tokea 1995 ww unaleta hoja nyepesi za 2005, na usemapo page yetu inajaa ujinga hapo utakuwa unaitukana team yako (arsenal) coz team inafungwa haina consinstency on performance but mnajikaza mnakoment utumbo tu viceversa cc kwetu daily we're happy ndo maana unaona page zinazidi kumiminika. And nowdays team yenu imepoteza direction on epl mnagombania nafac ya #4 and not epl title, mmetuachia wababe. Welcome again.
kwa utumbo unaongea arsenal akichukua uefa hata mara moja utajinyea wewe
kashapata jibuU'r wrong boy, watu tushaanza kuishabikia chelsea tokea 1995 ww unaleta hoja nyepesi za 2005, na usemapo page yetu inajaa ujinga hapo utakuwa unaitukana team yako (arsenal) coz team inafungwa haina consinstency on performance but mnajikaza mnakoment utumbo tu viceversa cc kwetu daily we're happy ndo maana unaona page zinazidi kumiminika. And nowdays team yenu imepoteza direction on epl mnagombania nafac ya #4 and not epl title, mmetuachia wababe. Welcome again.
Ha ha ha ha ,Siku wakichukua hii Dunia itageuka upside down!