wakuu hivi huyu dogo anachaza namba ngapi ? atakuwa anabadilishana na nani pale the bluesp
Huyu ni winga wa kulia au ni mchezaji anweza kucheza pembeni......ktk timu yetu atakua anapishana na Hazar na Willian........
Mlimzuia Salah asije Liverpool na juzi mmemtupia virago aondoke!Hata huyu Cuadrado nae mwakani ataondoshwa tu!
Mi sio shabiki wa Chelsea mkuu ila kiroho safi Cuadrado ni dribbling machine, na best choice kwa Mourinho
Dribbling machine atamuweka nani nje Chelsea kama sio kwenda kuua kiwango chake?
Atabadilishana na Willian sababu hiyo ndio nafasi ya Cuadrado

William atasugua bench
Atabadilishana na Willian sababu hiyo ndio nafasi ya Cuadrado
Wakati mwingine watu hawajui nafasi za wachezaji ndio maana wanachangia tu kwa kusukumwa na maneno yao.
Salah na Schullre viwango vyao vilikua havikui na ndio maana Mou amekua akiwachezesha kila siku ktk upande wa wings Hazard na Willian tu kwasababu hawa wengine hawaridhishi.....lkn Cuadrado anaonekana ni mzuri ktk hizo nafasi hivo tunaweza tukawa tumepata mbadala mzuri wa hawa watu tofauti Salah na Schullre.......kwahio Malafyale anaposema atamuweka bench nani anakua anakosea ni bora akauliza nafasi anayocheza huyo mchezaji kwanza then ndio ukauliza na hilo swali lako..
Namjua Cuadrado na nafasi yake toka yupo Lecce acha sasa Fiorentina liwango chake kimekua!
Kuja kwake Chelsea ni kugombea namba na Willian jambo ambalo hawezi fanikiwa
Mpira wa kutegemea kucheza hadi Willian aumie ndiyo umemfanya aje Chelsea?
Kumbuka Salah mlikuwa mnamuita "Egyptian Messi" ehehehehe!Biashara ya January 2016 Cuadrado bye bye