kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,880
Mind the Gap!!!!
Usiwe mkali, kalou...tunajua inauma sana lakini tulimiambieni mkawa mnatunini vile?
Sasa wacha tucheke bila kutoa sauti kwa sababu mnaweza kututilia mashaka kama mnavyomshuku yule Mr. wa kama hutaki una-Wacha1.
Mosi,Tulia, tulia tuli sindano ikuingie vizuri.
Pili, sema "cheese"
Mr. Mind the Gap, Kalou ndoto/njozi moja imezimwa leo, tena na kajikatimu cha shamba.
Link Chelsea manager Jose Mourinho wants Quadruple glory insists Blues star Cesc Fabregas - Mirror Online
Link BBC Sport - Chelsea midfielder Nemanja Matic backs team for quadruple
Hata hivyo huku napata kwi kwi kwi, haha haaa , heee bubu, natoa mkono wa pole kwa ndugu yangu, lafiki yangu, mtani wa michezo Kalou na Ntunzu.
Kuna msemo huu, kujikwaaa si kuanguka!
Nimkumbusheni tu, msimu huu hampati kitu, si ndoo, kikombe wala ngao.
Ahsante mkuu...sema mwenye ujumbe wake ameupata