Morinho hua ni ms...e na timu nayo yacheza kise....e sana
Bora Liver wamtoe na PSG wamtoe na Apoteze EPL ili atimuliwe ni mjinga sana huyu babu. Kenge kabisa.
Ngoja tuwaache mjaze server..najua mtakuwa na furaha sana
this is a very good wake up call. we are not invincible even at the bridge. na kama tunataka greatness this year, lazima tukaze manake timu tunazocheza nazo zinakaza vile vile. complacency eti kwa sababu hatufungwagi darajani should not be there. hili ni somo la maana hasa. vinginevyo na J4 tunaweza jikuta hata kwenye carling hatupo.
Morinho hua ni ms...e na timu nayo yacheza kise....e sana
Bora Liver wamtoe na PSG wamtoe na Apoteze EPL ili atimuliwe ni mjinga sana huyu babu. Kenge kabisa.
Tatizo la Chelsea ni kuwa squad yake ipo very thin
Wachezaji wale wale wanacheza mechi zote,wamechoka tayari hawa na hawana hamu ya soka
Hazard na Cahil wa nn mechi kama hizi?
Mind the Gap!!!!Haya matokeo yanaweza kuwafanya Arsenal washinde Champions League..
Moureen jana alichema ni aibu kwa lower club kuishinda timu iliyo juu yao chacha anawewesekaweweseka tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nilibaeleza May kibarua kinaota mbawa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee