Ivi 4th round FA kuna home and away?[
Ukifungwa unafungasha virago.
Ivi 4th round FA kuna home and away?
Atsu na Zouma walisajiliwa kabla ya msimu wa 2014 -15,,
Hebu kaangalie wachezaji waliosajiliwa na liverpool for the last 3 seasons utaona jinsi gani mna tatizo kwenye aina ya wachezaji mnaosajili..
Miezi miwili iliyopita mlikuwa mnaota mtakuwa INVINCIBLE, masaa matatu yaliyopita mlikuwa mnasema mtabeba makombe 4 kwa msimu mmoja. Sasa imebaki hadithi.. Hizi (Manchester City na Chelsea) ni timu za uyoga pori. Mourinho out