fair result ukichukulia tuna Man City next weekend..
liverpool katika ubora leo kwa msimu huu na wameshindwa kutufunga kwao..
Bado hatujafikia ubora wa Chelsea's most expensive assembled squad lkn taratibu team inakuja na likely kuanzia mwakani nikawa na uwezo wa kumfunga yyt na popote pale
Bado hatujafikia ubora wa Chelsea's most expensive assembled squad lkn taratibu team inakuja na likely kuanzia mwakani nikawa na uwezo wa kumfunga yyt na popote pale
Hongereni sana watani bao la ugenini litawalinda,wakija kwenu inabidi mkaze sana leo wangewatoa nishai LVP leo wamecheza vizuri ila wamekosa technique.
Ile itakuwa wameinunua kwa bei mbaya. Hawa jamaa wanabebwa mpaka inaudhi.Watani ila haka kapenati kama kana walakini vile... Hongereni...
Hoja anayo Mourinho.Huna hoja wewe Nonda............................
Kwa usajili wa akina Baloteli, ?
Utangojea sana mkuu
Msimu huu umetumia zaidi ya chelsea kwenye usajili..
Labda tatizo umemsajili nani..
Mkuu go get your fact pls:
Costa
Luis Filipe
Kourt Zouma
Fabrigas
Atsu
Nenda kangalie mlizo tumia mwaka huu
Mkuu go get your fact pls:
Costa
Luis Filipe
Kourt Zouma
Fabrigas
Atsu
Nenda kangalie mlizo tumia mwaka huu
Nikipata striker avarage tu kama hata huyo Remy wenu nachukua ubingwa!
Leo pale mbele ningekuwa na mtu kama Remy tu ningekuchapa easily kabisa
Tupo sokoni sasa atakuja Higuain
Ile itakuwa wameinunua kwa bei mbaya. Hawa jamaa wanabebwa mpaka inaudhi.
Na Costa alijiangusha ili apewe penalty ya pili. Na zile diving zao za kawaida. Mieleka waliyokuwa wanawapiga wachezaji wa Liver ilikuwa si mieleka ya kitoto lakini mwamuzi alikuwa anapeta tu.
Hoja anayo Mourinho.
Unaona kocha "bora" wa Timu "bora" duniani anavyojiwekea kinga hapa akikosa kikombe? Mnakiita vipi?
Kikombe cha mbuzi?
[h=1]We are not favourites - Mourinho[/h]Unaposoma, unaifahamu hiyo hoja yake?
Link BBC Sport - Liverpool 1-1 Chelsea: We are not favourites - Mourinho