palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Safi sana
kesho arsenal amfunge city au watoke draw. Na manure leo atoke draw au afungwe
Salute you guys!Daaaah huyu Costa huyu
hahahahaha Bantu lady
Angalau The Blues wananifuta machungu, hapa nina furaha tu. Hawa Swansea City hadi nawaonea huruma. Kipindi cha kwanza hivi.
Hivi huyu nae mnamuwaza?hahahah manure leo anaweza chea kichapo. Hawa qpr siyo mchezo
Hivi huyu nae mnamuwaza?
sio mbaya rentboys!