Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na wewe ndio mtoa dozi?
Ujitayarishe kusononeka.
Unaona Mourinho, jinsi anavyobebwa na waamuzi basi anajifanya mjanja kisaikolojia ili ku-influence abebwe zaidi. Ilipobakia Siku moja kwenda Swansea akajifanya kulalamika kuwa Chelsea inanyongwa na waamuzi. Na kuomba upendeleo maalum.

He had called on referee Neil Swarbrick to produce a strong performance at the Britannia Stadium.
Link BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea treated differently by football authorities

Taratibu tu itaingia..
 
brilliant , simply brilliant
final-whistle-verdict--swansea-away.img.png


what a performance !!!

match-report--swansea-city-v-chelsea.img.png


17 and counting ............

1421515203729.jpg
 
FT. MCI 0- 2 ARS
Tunakutana nao tukiwa na uhakika wakuendelea kuongoza ligi kwa matokeo yoyote. Hongera zao Arsenal.
 
Mimi sijatoa hoja, nimeeleza ukweli tu. Hutaki unaacha.

Siajakuona tena mkuu kule kwenye mazazi ya mungu. Umesilimu nini?


Hebu utafute huo uzi alafu uniite. BTW nimekua taiti kidogo kiasi naingia kidogo sn humu. Siwezi kusilimu ata siku moja mkuu. Niite tu ktk huo uzi tuendeleze mambo.
 
Manumbu umeona Jose alivo wa ajabu amekwenda kwao Swansea City na strong team hakujali kupumzisha wachezaji kwaajili ya mechi zijazo.............

Jose bw na hesabu zake. nilijua baada ya kuwa 4 - 0 mpaka half time angewapumzisha Fabregas, Hazard na aidha Willian/Oscar/Costa lkn wapi. ingawa of course timu ilikuwa slow zaidi sio kama first half. lkn nilitaka sana Hazard apumzike. Dogo anatumika sana na personally ningependa kumwona akipumzishwa baadhi ya mechi. Nadhani kwenye next FA game Jumamosi ya tarehe 24 dhidi ya Bradford Hazard hatoanza kabisa.

Lkn Ntuzu Swansea waliturahishia sana game kwa panic au kukosa umakini au woga wao. Walijimaliza wenyewe tangu mwanzo. Na sikumwelewa kocha wao wakati Centre Half wao Williams kaumia bega na anacheza kimachale machale kwa nini hakumtoa. Jamaa aliamua kuwa captain wa timu kiukweli akicheza huku anashikilia bega.

Lkn big up sana kwa Arsenal jana. wametupunguzia pressure dhidi ya Man City an sasa presha iko Etihad. Tukiwafunga gap linakuwa 8 points ambazo maana yake ni bye bye!! na kwa jinsi watakavyokuja kwa pressure na nguvu watataka sana watufunge na hapo ndo itakuwa kifo chao.
 
Kwenye hii nusu Fainali ya League Cup mechi nyingine ni Tottenham vs Sheffield United ambayo itachezwa J5. Ningetamani kama tuingie fainali na hawa Tottenham tukate mzizi wa fitina na tuzirudishe zile bao tano tena bila! itakuwa nafasi nzuri sana ya kulipiza kisasi tena kwenye fainali na kombe uwanjani. lile doa lao kwetu litakuwa limefutwa na kusahauliwa! anyway tungoje matokeo ya kesho na kesho kutwa na mechi za marudiano wiki ijayo
 
anayeongoza kwa kufunga magoli = Diego Costa 17.
anayeongoza kwa kutoa pasi za magoli = Fabregas 15.
anayeongoza kwa kukokota mipira na kupiga machenga = Eden Hazard.


vipi LFC, na Man Utd; salama jamani?..

imebaki historia tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom