Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jaribu kujibu ...

Nimekwambia kabla SAF haijaenda United, youth system ilikuwa imekufa. Toka aondoke Busby na kizazi cha Busby Babes, system ilikufa.

Sasa alivyokuja SAF, aliliona hilo na kuanza kusetup youth system upya, alifanya mabadiliko kwenye coaching na scouting systems. Alileta BACKROOM STAFFS ili waweze kumsaidia katika ajenda hiyo. Yeye kama meneja cum The Boss, ndiye aliyekuwa ana-manage systems zote hizo. Ufanisi wa hizo system ulitokana na management yake. Ndiyo maana anachukua credits ya kuwaibua akina Becks na Class of 1992.

Maureen hana focus katika hilo; yeye anajua akimtaka mchezaji, tajiri atatoa pesa tu na kuleta ready-made talents.

Cheki links hizi:

http://m.bleacherreport.com/articles/1507815-the-top-10-youth-academies-in-world-football

http://app.caughtoffside.com/?referrer=#article/caughtoffside-186942

Rentboys hata hawapo kwenye youth systems bora pale England!! Yaani mnazidiwa hadi na Crewe Alexander!!
 
I wish hiyo list ingekuwa hivyo hivyo pia kwenye mafanikio ya club haswa kwenye kupata vikombe
 
I wish hiyo list ingekuwa hivyo hivyo pia kwenye mafanikio ya club haswa kwenye kupata vikombe

Ukiondoa United, City, Arsenal na Barća, zingine zilizobaki zinakuwa hazina mafanikio sana kutokana na kupika wachezaji na kuwauzia akina Maureen, wanaopenda ready- made materials 🙈
 
ki mpango wako;

mwisho wa siku watu tunafurahia tunachotazama.

kwani wewe ukienda hotelini unajali jina la mpishi au unaangalia utamu wa chakula?

kwa kwa sababu Mainzi hawali vyakula visafi??

Ukiondoa United, City, Arsenal na Barća, zingine zilizobaki zinakuwa hazina mafanikio sana kutokana na kupika wachezaji na kuwauzia akina Maureen, wanaopenda ready- made materials 
 
Ukiondoa United, City, Arsenal na Barća, zingine zilizobaki zinakuwa hazina mafanikio sana kutokana na kupika wachezaji na kuwauzia akina Maureen, wanaopenda ready- made materials 🙈

Japokuwa "La Masia" ni academy nzuri ila Barcelona wananunua sana "ready made" (Man City siwataji hapa) , last ten years wametumia pesa nyingi kuliko Chelsea, that says a lot kuhusu mafanikio yao..
Hivi kati ya Gurdiola na Mou nani amefaidika zaidi na "ready made" katika mafanikio yake?
Don't hate the player hate the Game..na Pesa ndio iliyotawala mpira wa sasa, hata ukitaja the most successful clubs in europe for the last ten years lazima utakuta zimetumia sana for the last ten years,
 
Japokuwa "La Masia" ni academy nzuri ila Barcelona wananunua sana "ready made" (Man City siwataji hapa) , last ten years wametumia pesa nyingi kuliko Chelsea, that says a lot kuhusu mafanikio yao..

Sijasema kuna meneja ambaye hategemei ready-made materials. Ninachokisema ni namna baadhi ya mameneja wanaweza kubalance timu kwa kuwa na ready-made na home-made materials. Wengine hawawezi, hivyo pona yao ni kutegemea sana ready-made players.

Hivi kati ya Gurdiola na Mou nani amefaidika zaidi na "ready made" katika mafanikio yake?

Utani ama? Ebu thibitisha kwa mifano.

Don't hate the player hate the Game..na Pesa ndio iliyotawala mpira wa sasa, hata ukitaja the most successful clubs in europe for the last ten years lazima utakuta zimetumia sana for the last ten years,

I don't hate Maureen. I like him due to his tactics and system ready-made talents.

Kweli, tena rentboys na shitty ndiyo wameshababisha hayo kwa UK, kutokana na Russian na Arab monies.
 
Umamuona sasa Torres alivyo na confo?Anawachukua akina Pepe hadi kwenye 18!

Hii inaonyesha Diego Simeone ni kocha wa vipaji lkn Mourihno ni kocha wa kuivishiwa vipaji yy awatumie tu

Acheni chuki zenu kwa Jose....Torres ameshindwa kufanya vzr tangu alipoletwa na Ancelotti na ata kwa makocha wote waliofata kwa chelsea alichemka... Ameenda Ac Milan na kwenyewe amechemka...amecheza michezo zaidi ya kumi akiwa Ac Milan kafunga magoli mawili tu km sijakosea.....hapo utamlaumu Jose? Wameamua kumrudisha ATM angalau kumsaidia kurudisha makali yake.
 
Bafetimbi Gomez siyo mtu mwema na kuweni makini sana
Malafyale angalia appearances za Torres na idadi ya magoli aliyo tupia alafu uniambie km bado utamlaumu Mourinho ktk hili na kumpa tips Simeoni?

Alafu kiwango cha Torres kwa Chelsea na Ac Milan ndio kibovu kabisa chelsea 110 appearace kwa 20 goals scored na Milano 10 apperances kwa 1 goal scored alafu ulinganishe wastani wa Diego Costa au wa Dogba ata Remy.

Atletico Madrid (2001-07)

214 league appearances, 84 goals

Liverpool (2007-11)

102 league appearances, 65 goals

Chelsea (2011-14)

110 league appearances, 20 goals

AC Milan (2014)

10 league appearances, 1 goal

Club total

436 league appearances, 170 goals

Spain (2003-present)

110 appearances, 38 goals
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom