Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwahiyo hata UEFA Cup Winners' Cup lilikuwa siyo kombe la maana? FA Cup siyo kombe la maana?

Nimekuuliza ni wapi mlipoandika mnajadili EPL TU! Hujanijibu.

Sawa. Ngoja, niendelee na ubishi wako.

Ndiyo, bado nitasisitiza hivyo. Ni hesabu ndogo tu:

Msimu uanza Agosti ya kila mwaka. Ina maana SAF alianza kazi, msimu ulikuwa umeshaanza, kutokana na kufukuzwa kwa mtangulizi wake. Na msimu uisha Mei ya kila mwaka.

Sasa kutokea Novemba ya 1986 hadi Mei ya 1993, kuna miaka mingapi? Tuanze: Nov. 1986 - Nov. 1987 ni mwaka 1; Nov. 1987 - Nov. 1989 ni mwaka wa pili; Nov. 1989 - Nov. 1990 ni mwaka wa tatu; Nov. 1990 - Nov. 1991 ni mwaka wa nne; Nov. 1991 - Nov. 1992 mwaka wa 5; na Nov. 1992 - Mei 1993 ni miezi 7. Hivyo jumla unapata miaka 5.7, kimahesabu ni sawa kusema hiyo ni takribani miaka 6, kuliko kusema hiyo ni miaka 5!!

Ndiyo. Siyo tu kwamba najua, bali nafahamu. Msimu pia ulianza Agosti kama kawaida. Point yako?

Point yangu ni kuwa babu alitumia miaka 5 kupata ubingwa!

Na je kabla ya 1992 EPL ilikua inaanza mwezi gani?
 
Na je kabla ya 1992 EPL ilikua inaanza mwezi gani?

Sifahamu. Kwani EPL kabla ya Februari ya 1992, haikuwepo.

Sasa sijaelewa swali lako.

Kama ulimaanisha kuuliza hivi: kabla ya Februari 1992, The Football League ilikuwa inaanza mwezi gani? Bado nitakujibu, sifahamu.
 
Sasa hapo ndiyo umesema nini? Msingi wa hoja yangu ni kuwa Maureen siyo mpikaji wa wachezaji; yeye ni mkusanyaji wa wachezaji waliopikwa tayari na kuwatumia kushinda makombe.

Hata hao several players aliowa-identify baada ya kuhamia Porto walikuwa ready-made.

Na nimesema hilo halimzuii Maureen kuwa mmoja wa makocha bora. Kwani hiyo ndiyo strength yake; tofauti na kina SAF na hata LvG wanaojulikana kwa kupika wachezaji waliotamba. Wenger nayo yumo, ingawa wachezaji wote aliowapika toka mwanzo hawajawahi kutamba 🙈🙈

We point zako si za msingi unaposema kupika mchezaji unamaanisha nn labda? Coz wachezaji wa porto walikuwa wa kawaida ndo maana walikua nafasi ya nne kwenye ligi, mou kaja kawaivisha ndo wakatamba hata kuchikua uefa ndo na ww ukaanza kuwatambua sasa sielewi, na hawa wakina lamps drogba terry walipikwa na nani hadi kuwa hivyo walivyo?
 
Nzi Kumbe timu ikiwa nafasi ya nne inasababishwa na kuwa na wachezaji wa kawaida??
 
Last edited by a moderator:
Brenda ni kocha wa nini sasa?

Umamuona sasa Torres alivyo na confo?Anawachukua akina Pepe hadi kwenye 18!

Hii inaonyesha Diego Simeone ni kocha wa vipaji lkn Mourihno ni kocha wa kuivishiwa vipaji yy awatumie tu
 
sielewi kama unaelewa lolote kuhusu majukumu ya makocha wa timu;

sina hakika kama unajua vizuri mambo hayo; nyie ndo walewale???

Nakubaliana na wewe kuhusu strategies za Maureen..! Ni kocha mjanja mjanja tu who relies on readymade talents.
 
Kwenye timu kuna kocha wa 'senior' team;

Kuna makocha wa u-21;

kuna makocha wa u-17;

kuna makoch wa u-14;

kuna maskauti..

sasa yupi ana jukumu la kupika mchezaji?

cc. wote
 
kwanza poleni wakuu;
cc. Kalou, Ntuzu, Mentor, nilikuwa na udhuru kidogo. sasa nimerudi.

sielewi hawa wapinzani wanabisha nini? nieleweshe mkuu.

Mourihno hawezi kuvumbua wachezaji, kocha mjanja mjanja, anashinda makombe kwa mbinu mbinu tu..
 
Hivi nipe hiyo tofauti ya ready made na own making kwa mifano hai,

Ngoja nitumie mifano ya SAF kwanza.

Wachezaji waliopikwa na SAF (akiwa meneja wa United) na wakaja kutamba: Becks, Scholesy, Giggsy etc.

Wachezaji ready-made waliotumiwa na SAF: Vanz Magoli (RvP na RvN), Andy Cole etc.

Na pia kuna wachezaji waliokuwa raw talents, hawa walikuwa wameshapikwa na makocha wengine, sema SAF akaja kuwang'arisha: CR7, Ole Gunnar, Rooney etc.

Haya tuendelee sasa
 
Kwenye timu kuna kocha wa 'senior' team;

Kuna makocha wa u-21;

kuna makocha wa u-17;

kuna makoch wa u-14;

kuna maskauti..

sasa yupi ana jukumu la kupika mchezaji?

cc. wote

Hao wanaitwa backroom staffs wa the Big Boss (meneja). Wakiwa chini ya meneja mbovu, hawatapikika ipaswavyo.

Kwanini unafikiri youth system ya United ilikuwa kama imekufa baada ya Busby kuondoka? SAF akaja kuifufua. Kama meneja lazima utafute backroom staffs watakaoweza kutimiza malengo yako ya kupika vipaji.

Maureen yeye focus yake siyo kupika vipaji; anasubiri apikiwe ndiye aje avitumie.
 
Ngoja nitumie mifano ya SAF kwanza.

Wachezaji waliopikwa na SAF (akiwa meneja wa United) na wakaja kutamba: Becks, Scholesy, Giggsy etc.

Wachezaji ready-made waliotumiwa na SAF: Vanz Magoli (RvP na RvN), Andy Cole etc.

Na pia kuna wachezaji waliokuwa raw talents, hawa walikuwa wameshapikwa na makocha wengine, sema SAF akaja kuwang'arisha: CR7, Ole Gunnar, Rooney etc.

Haya tuendelee sasa

Hili suala la nani hasa anapika wachezaji naona bado ni utata.

Beckham was part of a group of young players, including Ryan Giggs, Gary Neville and Paul Scholes, who were coached by Eric Harrison and guided the club to win the FA Youth Cup in May 1992.

Je hapa hawa wamepikwa / wamevumbuliwa na Eric Harrison au SAF ?
 
sielewi kama unaelewa lolote kuhusu majukumu ya makocha wa timu;

sina hakika kama unajua vizuri mambo hayo; nyie ndo walewale???

Hujatoa maelezo yoyote zaidi ya kuongea pumba. Jipange upya!!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Similar Discussions

Back
Top Bottom