Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umamuona sasa Torres alivyo na confo?Anawachukua akina Pepe hadi kwenye 18!

Hii inaonyesha Diego Simeone ni kocha wa vipaji lkn Mourihno ni kocha wa kuivishiwa vipaji yy awatumie tu

Unamzungumzia Mourihno yupi? Aliyechukua Europa cup na Champions league akiwa na Underdogs Porto au yule aliyeshinda Champions league Na makombe yote pale Italy akiwa avarage Inter Milan au Mourihno wa Chelsea na Real Madrid ?
 
Mbona sasa anahitaji siku hizi waliopikwa tu hatuoni hao under dogs anymore?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mbona sasa anahitaji siku hizi waliopikwa tu hatuoni hao under dogs anymore?
Unaposema siku hizi sijui una maana gani, ila
Inategemea na sera za timu husika hapo, huwezi kuwa kocha wa timu kama Madrid ukaanza kusajili akina Sanogo, akina Sanogo ni huko Arsenal ..
Ndio maana pia ukiangalia listi ya timu zinazotumia pesa zaidi kusajili Barcelona pia utaikuta ..
 
Umamuona sasa Torres alivyo na confo?Anawachukua akina Pepe hadi kwenye 18!

Hii inaonyesha Diego Simeone ni kocha wa vipaji lkn Mourihno ni kocha wa kuivishiwa vipaji yy awatumie tu

Huyo huyo Diego kamnunua Mario Mandzukic kutoka Bayern inasemekana Mill 25 kuziba pengo la Costa,
 
Kalou ndugu yangu tuwe wakweli sometimes,hawa makocha akina Mourihno,Wenger,LVG hawana jipya!Makocha hawa vijana wana mbinu mbadala sana

BR kawa mjinga mwenyewe,Klopp kila akitafuta kipaji Bayern wanamchukua,LVG toka awavumbue akina Muller,Kluvert na Badstubber uwezo wake umeishia hapo

MOURHNO baada ya Verane sasa na yy kama Guardiola"board nileteeni yule na yule"
 
Tukiwa tunazungumzia makocha level za Mourihno, Wenger ,LvG na Klopp huwezi kulitaja jina la BR , huyo yuko kwenye listi ya akina David Moyes..
Mpira umebadilika sana haswa kwenye upande wa kibiashara , zile enzi za "nipe miaka mitatu" kujenga timu zimeisha , kila timu kubwa inataka makombe (ukiitoa Arsenal) sasa hapo kocha anapata wapi muda wa kuvumbua vipaji , kuviendeleza na kushinda makombe kwa wakati mmoja ? Ni kitu kigumu sana wala huwezi kuwalaumu makocha hawa wa timu kubwa ..
 
Point!!
Absolute true

Mzee Ferguson alivumiliwa miaka 5 ndiyo kikombe chake cha kwanza kinafika Man U!!Mambo kama haya siku hizi Management haiwezi kukukubalia
 
Unamzungumzia Mourihno yupi? Aliyechukua Europa cup na Champions league akiwa na Underdogs Porto au yule aliyeshinda Champions league Na makombe yote pale Italy akiwa avarage Inter Milan au Mourihno wa Chelsea na Real Madrid ?

Kwanza: timu inaweza kuwa 'underdogs', lakini iliyosheheni vipaji hatari. Vipaji ambavyo Maureen hajavitengeneza. Cheki lineup ya FC Porto kwenye UCL Final 2003.

Starting XI:
GK: Vítor Baía
RB: Paulo Ferreira
CB: Jorge Costa (c)
CB: Ricardo Carvalho
LB: Nuno Valente
DM: Costinha
RM: Pedro Mendes
LM: Maniche
AM: Deco
CF: Carlos Alberto
CF: Derlei

Substitutes:
GK: Nuno
DF: Ricardo Costa
DF: José Bosingwa
MF: Pedro Emanuel
MF: Dmitri Alenichev
FW: Edgaras Jankauskas
FW77: Benni McCarthy

Pili: cheki lineup ya Inter Milan iliyoshinda UCL mwaka 2010.

Starting XI:
GK: Júlio César
RB: Maicon
CB: Lúcio
CB: Walter Samuel
LB: Cristian Chivu
CM: Javier Zanetti (c)
CM: Esteban Cambiasso
AM: Wesley Sneijder
RF: Samuel Eto'o
CF: Diego Milito
LF: Goran Pandev

Substitutes:
GK: Francesco Toldo
DF: Iván Córdoba
DF: Marco Materazzi
MF: Dejan Stanković
MF: Sulley Muntari
MF: McDonald Mariga
FW: Mario Balotelli

Maureen ni kocha mjanja tu; mzee wa ready made materials. Timu zote alizoshinda nazo ubingwa ni za kutengenezewa. Hajawahi kutengeneza timu mwenyewe mwanzo mwisho.

Ingawa hilo halimfanyi kutokuwa mmoja wa makocha bora, kutokana na kuwa na tactics (pamoja na ujanja ujanja wake) za kushinda mechi muhimu. Kwa hili, namkubali mpiga domo.
 
Point!!
Absolute true

Mzee Ferguson alivumiliwa miaka 5 ndiyo kikombe chake cha kwanza kinafika Man U!!Mambo kama haya siku hizi Management haiwezi kukukubalia

Acha urongo wewe jamaa.

Kikombe cha kwanza cha SAF pale United kilikuwa msimu wa 1989/90 miaka 3 baada ya kuwa meneja msimu wa 1986/87. Alishinda kombe la FA; pia miaka 4 baada ya kuwa meneja, alishinda kombe la UEFA Cup Winners' Cup msimu wa 1990/91. Alishinda Premier League kwa mara ya kwanza miaka 6 baada ya kuwa meneja, msimu wa 1992/93.
 
Kwanza: timu inaweza kuwa 'underdogs', lakini iliyosheheni vipaji hatari. Vipaji ambavyo Maureen hajavitengeneza. Cheki lineup ya FC Porto kwenye UCL Final 2003.

Starting XI:
GK: Vítor Baía
RB: Paulo Ferreira
CB: Jorge Costa (c)
CB: Ricardo Carvalho
LB: Nuno Valente
DM: Costinha
RM: Pedro Mendes
LM: Maniche
AM: Deco
CF: Carlos Alberto
CF: Derlei

Substitutes:
GK: Nuno
DF: Ricardo Costa
DF: José Bosingwa
MF: Pedro Emanuel
MF: Dmitri Alenichev
FW: Edgaras Jankauskas
FW77: Benni McCarthy

Pili: cheki lineup ya Inter Milan iliyoshinda UCL mwaka 2010.

Starting XI:
GK: Júlio César
RB: Maicon
CB: Lúcio
CB: Walter Samuel
LB: Cristian Chivu
CM: Javier Zanetti (c)
CM: Esteban Cambiasso
AM: Wesley Sneijder
RF: Samuel Eto'o
CF: Diego Milito
LF: Goran Pandev

Substitutes:
GK: Francesco Toldo
DF: Iván Córdoba
DF: Marco Materazzi
MF: Dejan Stanković
MF: Sulley Muntari
MF: McDonald Mariga
FW: Mario Balotelli

Maureen ni kocha mjanja tu; mzee wa ready made materials. Timu zote alizoshinda nazo ubingwa ni za kutengenezewa. Hajawahi kutengeneza timu mwenyewe mwanzo mwisho.

Ingawa hilo halimfanyi kutokuwa mmoja wa makocha bora, kutokana na kuwa na tactics (pamoja na ujanja ujanja wake) za kushinda mechi muhimu. Kwa hili, namkubali mpiga domo.

Kuna wale makocha wa hizi youth team, hawa kaz yao kubwa ni kusaidia wachezaji wenye vipaji .

inawezekana ukawa "MPINGA MOURIHNO" hila hilo halimpunguzii ubora.

He was then hand-picked in late January 2002 by
FC Porto to replace Octávio Machado. At this time,
"Porto was in fifth place in the Liga "
(behind Sporting, Boavista, Leiria and Benfica), had been eliminated from the Portuguese Cup and was in last place in their Champions League second stage group. Mourinho guided the team to third place that year after a strong 15-game run (W–D–L: 11–2–2) and gave the promise of "making Porto champions next year.

"He quickly identified several key players whom he saw as the backbone of what he believed would be a perfect Porto team:

Vítor Baía, Ricardo Carvalho, Costinha, Deco, Dmitri Alenichev, and Hélder Postiga. He recalled captain Jorge Costa after a six-month loan to Charlton Athletic. The signings from other clubs included Nuno Valente and Derlei from União de Leiria; Paulo Ferreira from Vitória de Setúbal; Pedro Emanuelfrom Boavista; and Edgaras Jankauskas and Maniche, who both had been out of contract at Benfica.

Porto (2002–2004)
 
Acha urongo wewe jamaa.

Kikombe cha kwanza cha SAF pale United kilikuwa msimu wa 1989/90 miaka 3 baada ya kuwa meneja msimu wa 1986/87. Alishinda kombe la FA; pia miaka 4 baada ya kuwa meneja, alishinda kombe la UEFA Cup Winners' Cup msimu wa 1990/91. Alishinda Premier League kwa mara ya kwanza miaka 6 baada ya kuwa meneja, msimu wa 1992/93.

Jamaa huyu bana hapa tunazungumzia EPL ww unatuletea habari za FA tena?
 
Chifu, kukubali kosa mara zote ni uungwana; kuliko kuendelea kujitutumua.

Ebu nionyeshe ni wapi mmeandika kuwa mnaongelea EPL!!

Mmejadiliana juu ya makocha na jinsi hali ya uvumilivu kwa makocha ilivyopungua.

Sawa, hata kama EPL, ilimchukua SAF miaka 6, na siyo mitano kama ulivyoandika.

Wewe jamaa ni mbishi sijapata kuona!
 
Kuna wale makocha wa hizi youth team, hawa kaz yao kubwa ni kusaidia wachezaji wenye vipaji .

inawezekana ukawa "MPINGA MOURIHNO" hila hilo halimpunguzii ubora.

He was then hand-picked in late January 2002 by
FC Porto to replace Octávio Machado. At this time,
[/SIZE]"Porto was in fifth place in the Liga "
(behind Sporting, Boavista, Leiria and Benfica), had been eliminated from the Portuguese Cup and was in last place in their Champions League second stage group. Mourinho guided the team to third place that year after a strong 15-game run (W–D–L: 11–2–2) and gave the promise of "making Porto champions next year.

"He quickly identified several key players whom he saw as the backbone of what he believed would be a perfect Porto team:

Vítor Baía, Ricardo Carvalho, Costinha, Deco, Dmitri Alenichev, and Hélder Postiga. He recalled captain Jorge Costa after a six-month loan to Charlton Athletic. The signings from other clubs included Nuno Valente and Derlei from União de Leiria; Paulo Ferreira from Vitória de Setúbal; Pedro Emanuelfrom Boavista; and Edgaras Jankauskas and Maniche, who both had been out of contract at Benfica.

Porto (2002–2004)

Sasa hapo ndiyo umesema nini? Msingi wa hoja yangu ni kuwa Maureen siyo mpikaji wa wachezaji; yeye ni mkusanyaji wa wachezaji waliopikwa tayari na kuwatumia kushinda makombe.

Hata hao several players aliowa-identify baada ya kuhamia Porto walikuwa ready-made.

Na nimesema hilo halimzuii Maureen kuwa mmoja wa makocha bora. Kwani hiyo ndiyo strength yake; tofauti na kina SAF na hata LvG wanaojulikana kwa kupika wachezaji waliotamba. Wenger nayo yumo, ingawa wachezaji wote aliowapika toka mwanzo hawajawahi kutamba 🙈🙈
 
Kwanza: timu inaweza kuwa 'underdogs', lakini iliyosheheni vipaji hatari. Vipaji ambavyo Maureen hajavitengeneza. Cheki lineup ya FC Porto kwenye UCL Final 2003.

Starting XI:
GK: Vítor Baía
RB: Paulo Ferreira
CB: Jorge Costa (c)
CB: Ricardo Carvalho
LB: Nuno Valente
DM: Costinha
RM: Pedro Mendes
LM: Maniche
AM: Deco
CF: Carlos Alberto
CF: Derlei

Substitutes:
GK: Nuno
DF: Ricardo Costa
DF: José Bosingwa
MF: Pedro Emanuel
MF: Dmitri Alenichev
FW: Edgaras Jankauskas
FW77: Benni McCarthy

Pili: cheki lineup ya Inter Milan iliyoshinda UCL mwaka 2010.

Starting XI:
GK: Júlio César
RB: Maicon
CB: Lúcio
CB: Walter Samuel
LB: Cristian Chivu
CM: Javier Zanetti (c)
CM: Esteban Cambiasso
AM: Wesley Sneijder
RF: Samuel Eto'o
CF: Diego Milito
LF: Goran Pandev

Substitutes:
GK: Francesco Toldo
DF: Iván Córdoba
DF: Marco Materazzi
MF: Dejan Stanković
MF: Sulley Muntari
MF: McDonald Mariga
FW: Mario Balotelli

Maureen ni kocha mjanja tu; mzee wa ready made materials. Timu zote alizoshinda nazo ubingwa ni za kutengenezewa. Hajawahi kutengeneza timu mwenyewe mwanzo mwisho.

Ingawa hilo halimfanyi kutokuwa mmoja wa makocha bora, kutokana na kuwa na tactics (pamoja na ujanja ujanja wake) za kushinda mechi muhimu. Kwa hili, namkubali mpiga domo.

Nakubaliana na wewe kuhusu strategies za Maureen..! Ni kocha mjanja mjanja tu who relies on readymade talents.
 
Chifu, kukubali kosa mara zote ni uungwana; kuliko kuendelea kujitutumua.

Ebu nionyeshe ni wapi mmeandika kuwa mnaongelea EPL!!

Mmejadiliana juu ya makocha na jinsi hali ya uvumilivu kwa makocha ilivyopungua.

Sawa, hata kama EPL, ilimchukua SAF miaka 6, na siyo mitano kama ulivyoandika.

Wewe jamaa ni mbishi sijapata kuona!

Bio ya Babu ipo hapo online!November 86 ndiyo kateuliwa na May 89 na tena 90 board ili mjadili na kumuacha aendelee!Hapa tulikuwa tunajadili makombe ya maana sio FA!

Ukiingiza Nov 1986 alipo teuliwa bado utasisitiza Babu alichukua EPL yake ya kwanza baada ya miaka 6?

Je unajua mfumo huu wa sasa wa EPL umekuja mwaka 1992?
 
Sasa hapo ndiyo umesema nini? Msingi wa hoja yangu ni kuwa Maureen siyo mpikaji wa wachezaji; yeye ni mkusanyaji wa wachezaji waliopikwa tayari na kuwatumia kushinda makombe.

Hata hao several players aliowa-identify baada ya kuhamia Porto walikuwa ready-made.

Na nimesema hilo halimzuii Maureen kuwa mmoja wa makocha bora. Kwani hiyo ndiyo strength yake; tofauti na kina SAF na hata LvG wanaojulikana kwa kupika wachezaji waliotamba. Wenger nayo yumo, ingawa wachezaji wote aliowapika toka mwanzo hawajawahi kutamba 

Basi sawa..
 
Chelsea (2004–2007, 2013–)

José Mourinho on the touchline against Leicester City August 2014​

Internazionale (2008–2010)
Real Madrid (2010–2013)
[h=3]Individual[/h]
 
Hapa tulikuwa tunajadili makombe ya maana sio FA!

Kwahiyo hata UEFA Cup Winners' Cup lilikuwa siyo kombe la maana? FA Cup siyo kombe la maana?

Nimekuuliza ni wapi mlipoandika mnajadili EPL TU! Hujanijibu.

Ukiingiza Nov 1986 alipo teuliwa bado utasisitiza Babu alichukua EPL yake ya kwanza baada ya miaka 6?

Sawa. Ngoja, niendelee na ubishi wako.

Ndiyo, bado nitasisitiza hivyo. Ni hesabu ndogo tu:

Msimu uanza Agosti ya kila mwaka. Ina maana SAF alianza kazi, msimu ulikuwa umeshaanza, kutokana na kufukuzwa kwa mtangulizi wake. Na msimu uisha Mei ya kila mwaka.

Sasa kutokea Novemba ya 1986 hadi Mei ya 1993, kuna miaka mingapi? Tuanze: Nov. 1986 - Nov. 1987 ni mwaka 1; Nov. 1987 - Nov. 1989 ni mwaka wa pili; Nov. 1989 - Nov. 1990 ni mwaka wa tatu; Nov. 1990 - Nov. 1991 ni mwaka wa nne; Nov. 1991 - Nov. 1992 mwaka wa 5; na Nov. 1992 - Mei 1993 ni miezi 7. Hivyo jumla unapata miaka 5.7, kimahesabu ni sawa kusema hiyo ni takribani miaka 6, kuliko kusema hiyo ni miaka 5!!

Je unajua mfumo huu wa sasa wa EPL umekuja mwaka 1992?

Ndiyo. Siyo tu kwamba najua, bali nafahamu. Msimu pia ulianza Agosti kama kawaida. Point yako?
 
Porto (2002–2004)
Chelsea (2004–2007, 2013–)

José Mourinho on the touchline against Leicester City August 2014​

Internazionale (2008–2010)
Real Madrid (2010–2013)
[h=3]Individual[/h]

Hayo yote hayapunguzi uzito wa hoja yangu. Maureen anashinda kwa kutumia ready-made materials. He can't make his own materials.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom