Chelsick walinyimwa penalty ambayo ilikuwa nje ya box
Refa kawabeba Totts, ni agenda ya magazeti na pundits, Gunners manager
wanafanya campaign ili Mwezi May Moureen afukuzwe
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Huyu mpiga domo Maureen ana maneno ya shombo sana..leo yamemrudi...View attachment 215030
Halafu anaanza kulialia eti kanyimwa penati....sijui rentboys wangekuwa 2-0, Spurs wasingeweza kupata points zozote..yaani mpiga domo kachanganyikiwa liveee...
They just remember the name Harry Kane,
he Kaned them ... .... .. brilliant
Khe khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeee ngebe kwishnei!
Kama Chelsea tumefungwa hapo, nyie mtacjinjwa na pia kumbukeni ni watani zenu wa jadi hawa huwa wanawapania. Hukumu yenu nyingine haiko mbali. Unakumbuka 8-2, 6-0, 6-3, 5-0, 3-0 za Everton, 2-0 za The Saints, 3-2 za The Potters na list inaendelea??
Mkuu with all due respect New Castle waliwabamiza au umesahau uliza Gunners waliwafanya nini? Soka haliendi hivyo stay tuned khe khe khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeumeanza kulialia kama Moureen. Not long ago mlitaka kombe in November chacha ujanja wa Sungura huo. Umeanza kuangalia na kushabikia mpira lini au umekuja kwa jina jipya kama kawaida ya mashabiki koko wa Chelsick?
Wacha kuweweseka na timu yetu ya Gunners.
Najua tulifungwa na Newcastle na nyie mkawafunga, ila mbona inaonyesha kama unasahau Stoke waliwafanya nini na sisi tukawafanya nini Stoke. Kumbuka hao Newcastle sidhani kama mmecheza kwao.
una uhakika? Wanaongoza kwa kigezo kipi? We'll recover soon.
Mkuu Ntunzu ulisema utanitafuta January, vipi January haijafika huko uliko?Mtasema sn lkn ukweli tutawaambia tu!
Vipi mkono umeanguka?Haoooo kama fisi kusubili mkono utaanguka
Hodi hodi...
Mr. "Mind the gap" aka kalou anaishi mtaa huu?
Wewe kweli ni bonge la shabiki, hujaona basi la Maurinho limeanza kutoka matairi?Unless you are Man city supporter wengine ni "Mind the Gap " kama kawaida
Wewe kweli ni bonge la shabiki, hujaona basi la Maurinho limeanza kutoka matairi?
Safari ya ubingwa kwa msimu huu ndio inaingia mashakani. Vipuri vya basi vimeagizwa kutoka Russia na Russia imewekewa vikwazo. Itawapasa msubiri msimu ujao kuendelea na safari.
Maurinho alianza kuchanganyikiwa leo. Mchuano ukiwa haujesha alienda kuwabusu na kuwapongeza Tottenham.
Vipi mkono umeanguka?
Kwa hiyo, fisi amefanya karamu?
Haoooo wamedondosha mkono, next mtadondosha mguu.
Najua tulifungwa na Newcastle na nyie mkawafunga, ila mbona inaonyesha kama unasahau Stoke waliwafanya nini na sisi tukawafanya nini Stoke. Kumbuka hao Newcastle sidhani kama mmecheza kwao.
mashabiki wengine viazi kweli!' sasa unafuraahiiii chelsea kufungwa!' unathubutu kuja kukejeli humu wakat timu zenu zimepitwa si chini ya point 9 .........
Grand PA