Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Big Sam ameshaniharibia mood ya kutazama hili game ngoja nihamie katika ligi ya bongo simba na kagera wakati nikiwasubiri vijana wa emirates baadae.
vijana wa emirates leo wapo kwenye mteremko
 
WHU HAWATAKI kushinda Darajani
Hatuna cha kufanya kwa kweli,kama wenyewe hawataki mm ni nani kuwalazimisha?

hata hivyo ni wagumu,majamaa wako vizuri,nina mashanye leo mtatoa draw.
 
Big Sam ameshaniharibia mood ya kutazama hili game ngoja nihamie katika ligi ya bongo simba na kagera wakati nikiwasubiri vijana wa emirates baadae.

Big Sam Hana makosa kabisa! Amekuja na approach nzuri sn mpk Mourinho akachanganyikiwa na kutaka kumuingiza Drogba! Wako vzr westham na Mchezo ni mgumu!
 
Barcelona ya Uingereza ni Chelsea!Wana dive sana bana
Shame


Acha ushabiki ambao Sio mzuri! Wewe WHU wanacheza rafu hivyo Alafu unasema Chelsea wanadive?

Acha hizo Malafyale bhana! Leo haujaenda Ikwiriri shamba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom