Big Sam Ana akili kuliko wewe!
Mchezo ni mzuri Lkn mgumu sn!
Hayupo Song kikosi cha kwanza!No Diafro Sakho either
Coach Sam Allardyce gives Chelsea the maximum points!Kocha kichaa huyu anampa Mourinho game ya bure kabisa
Yah nimeona ila tukipata moja tu hawa majamaa wanaweza katika
Hili goli tulilopata litawapa nguvu sn Wachezaji maana km ingeendelea kua draw ingewachanganya akili Wachezaji!
Hana akili huyu Big Sam!Kati hapo mpe dimba Song toa Nolan
Toa Kouyote weka Diafro Sakho tungekuwa tunazungumza mengine sasa
Kuna goli la Costa!
Nahisi hata hazad lipo
Tumenyimwa penati
Tumenyimwa penati
Halipo...Kuna goli la Costa!
Unapopanga timu Siku zote lazima ukumbuke kuacha sub zenye uhai kidogo! Sio unamaliza timu yote!
Huyu Big Sam Ana akili sn!
Diving...