Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Nimesoma magazeti ya Uingereza yanamsifu sana mchezaji mmoja anaitwa Downing (midfield ya Westham) whats his level? How good is he?
Au anasifiwa tu kwa sababu ya uingereza? Is he really better than Matic (as they said)?
Cc: Malafyale BAK Wacha1 kunguru mjanja
Mkuu leo darajani ni taabu sana!Huku kuna Downing,pale kuna Song na mbele kuna bunduki 3 Carol,Sakho na Valencia!!Ni shida leo hata akina Ntuzu na agosti 8 wapo kimywa wakisubiri KUDURA za Mungu tu washinde
Last edited by a moderator: