Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha ushabiki ambao Sio mzuri! Wewe WHU wanacheza rafu hivyo Alafu unasema Chelsea wanadive?

Acha hizo Malafyale bhana! Leo haujaenda Ikwiriri shamba?

Leo nipo kiongozi,Ikwiriri siendi tena ehehehehe
 
chelsea ameonesha dhamira kubwa ya kuchukua hiki kikombe mpira mzuri chese kacheza leo
 
chelsealeo.imecheza kila aina ya mchezo...kulikuea nampira wa taratibu unaanzia kwa.mqbeki wakipandisha time mbele, katikati kulikuwa na.mira wa ksi sana ikiongozwa na matic,wiliam na ocsar midfilder ya west ham ilimezwa pia wamecheza wing attack ikiongozwa na hazard

Mjukwaa ya washabiki yote upande wq chelsea ilikuwa burudan bila presha yoyote wakisbria point tatu na zilikuwa za lazima
 

Attachments

  • 1419613260614.jpg
    1419613260614.jpg
    86.3 KB · Views: 129

Nobody can buy Big Sam's allegation!Kocha "anapouacha mpira nje" Darajani unategemea ushinde kweli?

Eti alimuacha Song nje kumpa muda mzuri na Arsenal Jimapilivery weird decision!

Chelsea won fairly aache up u u zi wake!Yy Big Sam ndiyo kawapa Chelsea game hii!Dakika 45 za kwanza hata nusu uwanja hawakufika

Wana bahati hata kufungwa 2-0
 
Good win yesterday. Na uzuri wa ushindi wa jana ni tulicheza mpira mkubwa na kiwaelemea throughout. Unapocheza na timu ambayo inategemewa kukupa upinzani mkubwa halafu kinyume chake unawachezea nusu uwanja throughout mpaka hawapati hata shot on target then ww uko juu sana na unemzidi kila kitu. Hongereni the blues wote
 
vipi ulimuangalia Downing?? as i said hana kiwango cha ku-win game for hammers vs big boys....

Oh yes nilimwona aisee...nahisi uingereza ndo ulimpa headlines unless kwenye games zingine huwa ana shine!!!
 
Oh yes nilimwona aisee...nahisi uingereza ndo ulimpa headlines unless kwenye games zingine huwa ana shine!!!

ame-improve kidogo kwenye games vs midtablers anawasumbua ila kwenye level ya top four hawezi hata kuonekana
 
Jana Hazard, Fabregas na Willian walitisha. Their movements, passing fluidity and accuracy at times were awesome

Big Sam alishajua mapema hana chake pale ndo maana aliwaacha nje Song na Sakho ili awaonee Arsenal Jumapili.
 
Hivo mlishacheza nao? What were the results....

we won 2-1 at OT...rooney was red carded kwa kumuangusha huyo huyo Downing kuzuia counter attack...ilikuwa mechi ngumu sana for last 25mins with 10 players
 
Nobody can buy Big Sam's allegation!Kocha "anapouacha mpira nje" Darajani unategemea ushinde kweli?

Eti alimuacha Song nje kumpa muda mzuri na Arsenal Jimapilivery weird decision!


Chelsea won fairly aache up u u zi wake!Yy Big Sam ndiyo kawapa Chelsea game hii!Dakika 45 za kwanza hata nusu uwanja hawakufika

Wana bahati hata kufungwa 2-0


Catch us if you can
 
INTeReSTiNG STaTiSTiCS

Southampton have only won 1 of their last five meetings against Chelsea at St Mary’s, losing 3 times and drawing the other


There have been 78 goals scored in previous meetings between the two sides. Chelsea scoring 49 and Southampton 29


No penalties have ben awarded in Premier League matches between the two sides


Last time the sides met at St Mary’s Chelsea were 3-0 victors, even Fernando Torres made it on the score sheet...ha ha ha! (Imagine Costa)


The two top goal scorers in the fixture are James Beattie and Frank Lampard who scored 5 goals each in previous matches between the two sides.
 
Fernando Torres is to join AC Milan on a
permanent basis.
The striker moved to the San Siro on a two-
year loan deal in August and on January 5 he
will complete a permanent transfer to the Serie
A side.
Torres, 30, spent three-and-a-half years at
Stamford Bridge, in which time he helped
Chelsea lift the Champions League, the Europa
League and the FA Cup.
A World Cup-winner, Torres joined Chelsea
from Liverpool in January 2011. Memorable
highlights include his Champions League semi-
final breakaway against Barcelona at the Nou
Camp and the goal that helped beat Benfica to
lift the Europa League trophy a year later.
Torres continued to share in Spain’s
international success while at Chelsea. He
helped his country to a second successive
European Championship in 2012, securing the
Golden Boot in the process.
In the busy 2012/13 season his 22 goals were
spread over seven competitions, a club record.
Chelsea Football Club thanks Fernando for his
service during the past four seasons and
wishes him the very best for the future.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom